Hahaa! Mimi jamani cku ya kwanza kwenda Posta mwenyewe nilikuwa naelekea maeneo ya Ifm, nakumbuka nilizunguka jengo la imalaseko mara tatu nisijue naelekea wapi, mbaya zaidi nikakutana na mzungu akaniulizia imalaseko iko wapi, hicho kingereza nilichokuwa nakiongea mmh cha form six leaver ya...