Msaada, mume wangu mtarajiwa simuelewi !

Msaada, mume wangu mtarajiwa simuelewi !

Jamani whatever it is cha muhimu ni ushauri,
Asante mamaafacebook nishakaribia

Dada...mapenz bila kukwaruzana hayaendi hata kama mnapendana kama nin ipo siku mtagombana nachokushaur jaribu kumsoma.tabia huyo shemej mwangalie ni.yapi hayampendezi
 
Cjajua bado kuquote ila ntaelewa kidogokidogo. Jilala asante , ila kila akimuuliza mbona cku hizi umebadilika, anachojibu ni kwamba hakuna tatizo lolote, mambo tu yamekuwa Mengi. Hivyo anashindwa amuelewe vipi

Umeambiwa muhanga ni ww maana unajichanganya kwenye maelezo yako ujue
 
Mwambie aache kudeka wenzie wanachuniwa hata karibia mwezi wanavunga ye siku moja analia lia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom