Recent content by princessdecruiz

  1. princessdecruiz

    JamiiForums Tanzania Baba alinikataa sasa naishi kwa huzuni

    Iluminat wanagawa pesa bure au wanafanyaje wnyew
  2. princessdecruiz

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kumsaidia mtoto aliyekunywa maji ya tumboni wakati wa akizaliwa

    Jaman naombeni msaada dawa ya kumsaidia mtoto aliyekunywa maji tumbon yanamsumbua sana jmn mwenye kujua anipe msaada.
  3. princessdecruiz

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtoto wa kiume

    Kama mzunguko wa mke wako ni cku 28 bac hesabu kuanzia cku anayopata hedh mpk cku ya 14,15,16 zte hzo ni cku ya kupata mtt wa kiume,cku ya 11,12,13 ni cku ya mtt wa kike,tafta dokta akuelekeze
  4. princessdecruiz

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hilo jina tu mi hoi
  5. princessdecruiz

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kilosa,moro nije mwanza nyamagana au ilemela
  6. princessdecruiz

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo dar wilaya ya kinondoni aje kigoma manispaa,
  7. princessdecruiz

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Nahitaj kujua zaid kuhuc ugonjwa wa pid na madhara yke
  8. princessdecruiz

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya kusisimua: Jini mauti

    Uwe unatuekea mfululizo jmn
  9. princessdecruiz

    JamiiForums Tanzania Napenda sana kula mayai lakini sinenepi!

    Ukijfungua utanenepa
  10. princessdecruiz

    JamiiForums Tanzania Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Asanten jmn ni zp dalili za ovulation?
  11. princessdecruiz

    JamiiForums Tanzania Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Naomben msaada jmn mwez dec nilngia trh 8,mwez january nmeingia trh tano nisaidien kujua cku zngu za hatar,mzunguko wngu ni cku 28,
  12. princessdecruiz

    JamiiForums Tanzania Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Ninaomba kujuzwa jamani,mzunguko wangu ni siku 28 mwezi wa 12 nilibleed tarehe 5 then January nimebleed tarehe 6. Je siku sahihi za kushika mimba ni zipi? Kwa ambao wako serious sitaki jokes please. Asanteni.
  13. princessdecruiz

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya kusisimua: Jini mauti

    Mbona unakatsha utamu
  14. princessdecruiz

    JamiiForums Tanzania Unaweza kufanya mapenzi siku za hatari na usipate mimba?

    Naomben msaada wenu wanajamii forum inawezekana mtu ukafanya mapenzi siku za hatar na usipate mimba? Matuc ctak km huwez kunipa jbu sahihi unapita hivi!
Back
Top Bottom