Recent content by PrinceNsabho

  1. P

    Star TV na RC Makonda: Kilichojiri katika mahojiano

    Guys, mh.RC makonda ni mtu anayethubu, na ukiangalia mahojiano yake Jana na star tv unaona kabisa anachoongea ni sahihi. Mr.Ruge wa CMG ni mnafiki mkubwa asiyestahili hata kdg. Kwanza anahojiwa na TV yake na subordinates ambao wana masilahi yao, lkn ni nani asiyejua kuwa rafiki hugeuka na...
  2. P

    STAR TV MNATUZINGUA NA MATANGAZO YA MISS TZ 2016

    Mbona maneno mengi mno, punguzeni mameno mtuletee vitu vipya like music, muwalete ktk stage pia ma miss! tushaanza kuwachoka na maneno yenu, cjui ooh umependeza and so forth, kah!
  3. P

    Hivi kuna uhusiano gani kati ya wanawake na nguo za uchi.

    Achana nao, waliumbwa na mapungufu kama anaonesha tabia nzuri mengine fumba macho, ukifatilia kila kitu utapasuka
  4. P

    DAR LUX yadhalilisha abiria wake

    Unafiki unaujua? K nn
  5. P

    DAR LUX yadhalilisha abiria wake

    Usiwadhalilishe wanawake, tutaku note na upate shida kama trump anavyojaribu kujisafisha na tuhuma za udhalilishaji wanawake
  6. P

    DAR LUX yadhalilisha abiria wake

    Kama unajamaa yako anafanya kazi hapo mdadisi atakuibia siri, mm nimewapa habari mchukue tafadhali na mamlaka husika ziwe alerted maana mnaona vyema kugawiwa pipi badala usalama wa maisha ktk safari
  7. P

    DAR LUX yadhalilisha abiria wake

    Cyo kwenda nakugeuza kwa maana ya mchana mmoja, nikwamba mfano gari linatoka Mza asbh j'mosi linafika dar saa saba usiku afu kesho yake asbh gari hilo hilo lirudi Mza huko ndiko namaanisha, lkn pia muda wa mabasi kuondoka stendi ni saa 12 kamili na abiria wanakuwa hapo saa moja kabla ya muda...
  8. P

    DAR LUX yadhalilisha abiria wake

    Mabasi ya DAR LUX yafanyayo safari zake ktk baadhi ya mikoa hapa nchini imejikuta ikidhalilisha abiria wake baada yakuonekana inapendwa na abiria wengi. Uongozi wa kampuni hiyo umejikuta unaingiwa tamaa na kujikuta inalazimisha madereva wake kufika na kugeuza siku hiyo hiyo bila kujali umbali wa...
  9. P

    Ahsante Mungu kwa kutupa Rais Magufuli

    Watu walikuwa wapiga dili aisee, pamoja na hela kuwa scarce resouce lkn ilifikia hatua kwa baadhi ya watu Bandarini nawapiga dili wengine hela ikawa cyo tatizo bali tatizo ikawa matumizi, mtu akifanya kazi bandarini miezi 6 tu huyo cyo mwenzako, na ilikuwa kupata kazi hapo kama hujatoa hongo...
  10. P

    Ahsante Mungu kwa kutupa Rais Magufuli

    Wanajamvi nimemaliza kuangalia marudio ya kipindi chaMagufuli ITV akiwa bandarini akiongea na wafanyakazi, nimemsikiliza kwa makini sana, pamoja na kazi nyingi nzito na za hatari ambazo amekwisha pambana nazo, nimefikia hatua yakumkubari sana huyu kiongozi. Hakika ni mtu aliyetumwa na MUNGU...
  11. P

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa RAS Kagera na DED Manispaa ya Bukoba

    Ni ngumu sana kupiga hela kwa namna hiyo eti watendaji wa serikali RAS, DED na mhasibu mkuu washirikiane kuiba waziwazi namna hiyo afu tena wafungue na account, ndiyo maana napendekeza busara itumike. Wapewe nafasi yakujieleza na uchunguzi ufanywe, ninauhakika kabisa watu hawa walikuwa na nia nzuri
  12. P

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa RAS Kagera na DED Manispaa ya Bukoba

    Ninavyo wafahamu watu wa Bukoba (BK) wengi wananafasi nzuri kifedha haswa watu wa kyelwa na Misenyi na wengi wao wako mbele (Ulaya), watu kama hao wanapoona janga kama hilo limetokea wako tayari sana kutuma misaada yao moja kwa moja eneo la tukio kuliko kutumwa Dsm afu ndo ipelekwe Bk. hivyo...
  13. P

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa RAS Kagera na DED Manispaa ya Bukoba

    Tumbua hii jamani iangaliwe vzr. Binafsi imenisikitisha sana. RAS, DED na Mhasibu mkuu ni watendaji wakuu ktk serikali ya mkoa, wanapopata msaada kutoka kwa marafiki cyo rahisi na salama kupokea hela na kukaa nazo majumbani mwao, hivyo yawezekana kabisa waliona ni jambo jema misaada hiyo...
  14. P

    Leo nimewasilisha ripoti ya kikao nilichokifanya na baadhi ya wana Kagera waishio Dar es salaam

    Hahaaaaa....mama wa hela ya mboga kashindwa kukamilisha hata sufuri 0, au Magu kabana sana
  15. P

    Wabunge pingeni na kataeni kujengwa kwa Daraja la Juu ya Bahari kutoka Coco Beach to Agakhan

    It's so sad! Daraja hapo la Kazi gani!!! Mlioshika mpini tafadhali elekezeni hiyo fedha ktk shughuli nyingine muhimu za maendeleo, hatuhitaji hela zetu zipotelee ktk daraja hilo kwakuwa halina tija. Cc: mhe. JPM
Back
Top Bottom