Naunga hoja nchi za Asia 1.5gb daily inakuwa inajirenew usiku sa sita mpk mwezi mzima kwa shilingi za kitanzania 12000 mpk mwezi uuishe huku tanzania utakuwa umetumia laki moja net au zaidi maana gb 1.5 huku bongo ni 3000 na haijulikani inaishaje kwa mwezi unaweza tumia laki na zaidi na...
Rejea kichwa cha hapo juu mimi ni kijana umri miaka 28 nina masters degree in computer science vijana wezangu,kaka zangu , baba zangu, mama zangu na wazee wangu naomba mnisaidie niweze kutengeneza ujuzi wangu kwa kupata experience ya taaluma yangu kwa volunteer au internship.
Mimi nina ujuzi...
Ndugu narejea tena naombeni nafasi ya kufanya internship au volunteer niweze kupata ujuzi zaidi mimi ni graduate nina masters of science in computer science umri miaka 28 ninauhitaji wa kufanya intern mkoa wowote.
Mimi ni mtaalamu wa data science , Machine learning, AI, mobile app, data...
Kujua vitu ni jitihada zako haijalishi upo level gani mimi nilimaliza degree nipo unga nimekuja kwenda masters ndio nikajua vitu coz nilicheza mwanzo nazani akili ikanijia sipaswi kucheza tena ingawa bado na hustel
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.