Recent content by prince zodiac

  1. prince zodiac

    Tahadhari: ISIL wanapanga kuishambulia Tanzania

    Dah tahaadhari zichukuliwe tu!! Kila mmoja awe mlinzi wa mwenzake, kwa kushirikiana pia na vyombo vya dola!!
  2. prince zodiac

    Majina HESLB yaongezwa

    Bro samahani! Naomba unitizamie namba hii s.0297.0006.2011
  3. prince zodiac

    Zuma, Kagame and Several African heads of state to escort Kenyatta to ICC

    Africa tutakuja kuamka baadae saaanaaa huenda labda ikawa mwaka 3050, this is mind capture and soften heart! Waafrika tuamkeni!
  4. prince zodiac

    Mwenye kuelewa kuhusu NIT

    Kijana course nyingi zipo za maana zitakazokuwezesha wewe kufanya kazi sehemu yoyote duniani sio nchini tu, maeneo ya kazi, airport, bandarini, viwandani na makampuni makubwa yote, course ni kama Procurement and logistics management, transport and logistics, automobile engineering, urubani...
  5. prince zodiac

    Heslb:mkopo mkopo mkopo mkopo chungulia apa uone....!!!

    Dawa ni kufanya kweli tu 2015 kwenye uchaguzi au sio STAU?
  6. prince zodiac

    Loan appealing

    Stauuuu hako kajamaaa mbona kanajifanya kufuatilia herufi na matamshi hakana cha kuonge niini?
  7. prince zodiac

    Kwa hili heslb na mwaisobya mnastahili lawama

    Let's fight for our right! Mie binafsi sielewi ni vigezo gani wametumia na kama ni hicho cha kwamba mtu kasoma shule binafsi o-level, sio wote wanaosoma hizo shule wana uwezo wengine wanadhaminiwa tu, ndo maana advance wameenda shule za serikali ili chuo wapate mkopo kwani ni watoto wa wakulima...
  8. prince zodiac

    Nalia na nacte...jaman vp n.i.t

    Dah! Washikaj mie pia nimebakiza NIT pekee na nimeomba faculty tatu, yaan kuanzia chaguo namba mbili mpaka nne, je ntapata chance kweli hapo?
  9. prince zodiac

    Hivi, SUA, NIT, MZUMBE,UDOM

    Dah! Wanaboa sana, ila ngoja tuwasubiri au siyo Isqo?
  10. prince zodiac

    Hivi, SUA, NIT, MZUMBE,UDOM

    Hivi vyuo wanasubiri nini kutoa majina?
  11. prince zodiac

    MTAFARUKU EAC: Kikao cha Bunge la Afrika Mashariki chavunjika

    Hivyo vibunge ni vipuuzi tu! Mbona kama madai yenyewe ndo hayo, si virudi kwao tu vikachunge ming'ombe yao isiyo na nundu, JK Kamanda timua hao mafala warudi kwao.
Back
Top Bottom