Recent content by prince rekik

  1. prince rekik

    PICHA: Maalim Seif Shariff Hamad apokewa kifalme Kisiwani Pemba

    Sio muongo..ni kweli..ndo maana akasema waulize wenyeji wa pemba..sawa..wenyeji tupo kama huamini tuulize
  2. prince rekik

    PICHA: Maalim Seif Shariff Hamad apokewa kifalme Kisiwani Pemba

    Good...upo sahihi kwa unacho kijua mkuu ..lakini wacha nikufahamishe zaidi kwa sababu vitu vimebaadilika...saiv malim amebadili maakazi pamoja na ofisi akija pemba..mwanzo alikuwa anaitumia hyo nyumba unayoosema wewe ya huyo mznz aliyopo nje (Hawaii) jina halisi silijui..sasa saiv atakuwa...
  3. prince rekik

    PICHA: Maalim Seif Shariff Hamad apokewa kifalme Kisiwani Pemba

    Hayo ni maakazi yake mapya pamoja na ofisi kipindi akija pemba ...
  4. prince rekik

    PICHA: Maalim Seif Shariff Hamad apokewa kifalme Kisiwani Pemba

    Sio kasri la cuf...hiyo ni nyumba ya mbunge wa jimbo la ziwani Ahmed Juma ngwali ..
  5. prince rekik

    Je, ni sahihi kusave namba ya mpenzi kwa jina lake?

    Huwa sina mabadiliko kwenye kusave namba ya kipenzi changu..mtindo ni ule ule tu hata niwe nao mia kwa wakat mmoja .maana tangu kitambo ilikuwa huu mtindo ulikuwa unapita ktk hisia zangu .napenda kuiridhisha nafsi yangu..ili hali halitakuwa na muonekano mbaya ..mfano..HAIYTHAM WA REKIK
  6. prince rekik

    Vuga, Zanzibar: Hassan Abuutwalib 'Kiringo' afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti

    Tumezoea?...mbna nyinyi muna imani potofu..kuhsu sisi..
  7. prince rekik

    Vuga, Zanzibar: Hassan Abuutwalib 'Kiringo' afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti

    ...yaani asilimia kubwa ya wabongo wanaamini ..wznz wana tabia hyo..hata kama ipo ila sii kwa mawanda wanayo yapa wao
  8. prince rekik

    Pemba: Mwanaume mmoja atiwa mbaroni kwa kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka minne

    Tatizo lenu munachukulia vitu rahsi sana...mtu awe chakula kwa faida gani...kwetu hatujafunzwa ivo
  9. prince rekik

    Pemba: Mwanaume mmoja atiwa mbaroni kwa kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka minne

    Mkuu..sikia kwani ni watu wa dini hii tu wanafanya hayo matendo..mpaka useme sheria za dini..dini yetu inatuwelekeza kwamba endo ..ukiwa una maji mengi sana..unatakiwa ufunge na siyo vengne..tena vijana wanafikia umri wa miaka 20 na kuendelea na hwana mademu na ivo vitendo hawafanyi...iyo ni...
  10. prince rekik

    Pemba: Mwanaume mmoja atiwa mbaroni kwa kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka minne

    Mkuu..matendo yaliyo shamiri kisiwa cha unguja ..usi wajumishe na wapemba..hata kama tabia izo zipo ila sii kwa kiasi munacho dhani nyinyi...
Back
Top Bottom