Recent content by prince p4

  1. P

    JamiiForums Tanzania Chaguo la mchumba

    wana jf mimi ni kijana ninayevutiwa sana na wasichana wenye rangi nyeupe lakini cha kushangaza ninawavutia sana wasichana weusi kiasi ambacho kinanifanya niwe karibu nao kuliko wale weupe ninaowataka, naomba mnishaur kama nitakua sahihi kuanzisha uhusiano na msichana mweusi au nitakua nampotezea...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Udhibiti wa silaha ndogondogo

    Wana JF leo naomba tuliangalie suala la ndugu zetu wanaoendelea kupotea kwa kuchomwa visu na wahuni wakiwemo mateja alafu bado tunadai kuwa Tanzania ni nchi ya amani. Je polisi wameshindwa kuhakikisha udhibiti wa matumizi ya silaha ndogo ndogo kama visu na mapanga hasa kwa hawa vijana waliobobea...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Napiga hodi kwa unyenyekevu

    ndugu zangu nilifight sana kuwa mmoja wa wana jf na kwasasa kilio changu kimekwsha tupo pamoja wakuu wangu wa kazi
Back
Top Bottom