Ni afadhali upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga, tuliopeteza hirizi tulirudi kwa mganga wetu tukatengenezewa zingine, nyau nyie mliofiwa na godfather mtalia na kusaga meno.
Nimeenda kuangalia kamusi ili nijue maana ya neno mhuni, kumbe mhuni ni neno pana ila tafsiri yake kuu ni mtu ambaye hajaoa, ila pia pamoja na kutooa kuna viji- characteristics Kama Saba hivi vya mhuni, ambavyo ni kutokuwa na familia, uvaaji wa kutepesha suruari, kuvuta sigara unamolala...
Ni afadhali Mara mia wahuni kuliko washamba, wahuni hawajawahi kuwa watu wabaya since day one, wahuni wanajua kula na kipofu, washamba gang kafieni mbali nyau nyie.
Nyie mkisusa sie hatuna Cha kupoteza, mabranch yetu yatashiriki na tutapata legitimacy ya kushika dola, asa mfano ccm tunawezaje kupoteza muda kuiba kura au kutangaza kibabe Jimbo la gwajima? Majimbo Kama hayo tutayaacha uchaguzi uwe huru na wa haki na wakurugenzi wa majimbo ya washamba gang...
Wahuni gang kuendesha nchi hatuhitaji kuzoa majimbo yote bali, majimbo 150 yanatutosha kabisa, 2025 majimbo ya washamba gang tutayaacha uchaguzi uwe huru na haki so kazi kwenu wapinzani kuyapambania.
Washamba gang jiandaeni kulia na kusaga meno 2025, wapinzanj 2025 msisuse uchaguzi make majimbo ya washamba gang ccm hatutayapiginia tutawaacha wagombea wajitetee wenyewe chama tutaelekeza nguvu majimbo ya wahuni gang.
CCM hatujawahi kutegemea makaratasi ya kupigia kura kupata rais, mpende msipende 2025 Samia ndo rais, na kwenye chama tutaprint fomu moja tu kwa ajili ya Samia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.