Recent content by Prince Naahjum_

  1. Prince Naahjum_

    Fungua Milango ya Mafanikio: Hatua Muhimu za Kutimiza Malengo Yako

    Usiyape nafasi maneno yenye dhihaka na kejeli kuja na kuifikia akili yako ya ndani maana yanaweza kukuvunja moyo na kukupunguza nguvu yako ya mapambano. Tumia utaratibu wa KUJISEMESEA MWENYEWE, ili kuweka ulinzi wa mpaka wa kutoruhusu kufikiwa kwa akili yako ya ndani.
  2. Prince Naahjum_

    Natafuta mwanamke aliyenizidi umri (sugar mummy)

    Duh.. Hao ndo vijana wa Taifa langu
  3. Prince Naahjum_

    Busara Yangu:

    Ni mwanamke fulani mwenye akili na busara. Anayo namna ambayo huleta amani na faraja. Linapokuja suala la mume wake, kwa asilimia zote amejitahidi kumfanya mumewe ajione ni mwanaume bora. Amekuwa mwanamke ambae amemuondolea mumewe wasiwasi na kumpa mapenzi kemkem yenye tija. Amekuwa mwanamke...
  4. Prince Naahjum_

    "Mwili" wa Ivan uliingia Uganda kwa jina la Ally, Interpol wataka kaburi lifukuliwe

    Let's wait and see what will happen.. Maana nasikia Uganda hata ndugu hawajaona mwili wa Jamaa... Na inshu ya hospital na mambo yote yalivyokuwa anajua Zari na King Laurence tu pmj na madokta nyuma ya pazia.. Nimeangalia interview ya zari na millardayo daaa... Yupo normal bibiee anakimbana na...
  5. Prince Naahjum_

    Mgonga nyundo (care taker)

    Alikuwa mwanamke mzuri, yes mzuri haswa hakustahili kuwa gerezani tena akitumikia kifungo cha miaka 15 jela na huku akiwa ameshatumikia miaka 11. Akiwa na huzuni na msongo wa mawazo akapitisha adhma moyoni mwake ya kuwa mwaka huu usipite lazima atoroke gerezani kwa namna yoyote ile. Ni heri...
  6. Prince Naahjum_

    Tunakua wema kwa watu baki, lakini majumbani mwetu hasa kwa watoto zetu shida tupu

    Tunakua wema kwa watu baki, lakini majumbani mwetu hasa kwa watoto zetu shida tupu Nilikuwa nikiwahi kazini, nikiwa natembea haraka haraka nikaparamiana na mtu ambaye sikuwa nikimfahamu " kwa kujishusha na kwa ukarimu nikamwambia samahani sana ndugu yangu, sikukuona ndio maana nikakuparamia...
  7. Prince Naahjum_

    Asubuhi tulivu

    Pindi jua lichomokapo asubuhi huchomoka na baraka za watu waliohai. Mimi na wewe ni miongoni mwa watu tuliohai, hivyo hatuna budi kupokea baraka hizo za Mungu na kumshukuru kwa yote atendayo kwetu.....! PRINCE NAAHJUM ALSINA
  8. Prince Naahjum_

    Amua sasa kufanya mabadiliko katika maisha yako

    Nikiwa kitandani kwangu leo asubuhi nikawa natafakari na kujiuliza "ni nini siri ya mafanikio, nifanye nini nifanikiwe?" majibu ya kufanikiwa nikayapata mulemule room kwangu. FENI ikaniambia niwe cool nisikurupuke, DALI ikaniambia "fikiri juu zaidi". MADIRISHA yakaniambia "tizama nje uone fursa...
  9. Prince Naahjum_

    Jifunze wewe mwanamke uliye single

    1- Kamwe usisahau kumuomba Mungu wako kabla hujasema "YES" kwa yule unaedhani anapaswa kujenga maisha na wewe. Usikimbilie kuolewa. Kama utakimbilia kuolewa, utaikimbia ndoa na tena kwa majeraha makubwa. 2- Tambua lengo lako kabla hujaingia kwenye ndoa. Fanya biashara yoyote, tafuta shughuli ya...
  10. Prince Naahjum_

    Jifunze wewe mwanamke uliye single

    1- Kamwe usisahau kumuomba Mungu wako kabla hujasema "YES" kwa yule unaedhani anapaswa kujenga maisha na wewe. Usikimbilie kuolewa. Kama utakimbilia kuolewa, utaikimbia ndoa na tena kwa majeraha makubwa. 2- Tambua lengo lako kabla hujaingia kwenye ndoa. Fanya biashara yoyote, tafuta shughuli ya...
  11. Prince Naahjum_

    Usikate tamaa katika maisha

    Asante sana ndugu yangu
  12. Prince Naahjum_

    Usikate tamaa katika maisha

    Naaam ndo nipo hapo ndugu yangu
  13. Prince Naahjum_

    Usikate tamaa katika maisha

    Asante sana kaka..! MUNGU akutiee nguvu na kufungua milango yako ya mafanikio, na kuweka mbali wale wotee wabaya
  14. Prince Naahjum_

    Usikate tamaa katika maisha

    MUNGU wangu, pole sana kaka..! Naomba usife moyo ndugu yangu...! Wewe ni muhimu sana na bado unayo nafasi ya kizid kujaribu kadri uwezavyo..!
Back
Top Bottom