Recent content by Prince Messiah

  1. P

    JamiiForums Nataka kuoa ila sijui taratibu

    Nimetenga 5M budget ya process ya kuoa mkuu, hukuwa wazi unamaanisha nina bei gani mzee
  2. P

    JamiiForums Nataka kuoa ila sijui taratibu

    Nimekaa nae zaidi ya miaka 4 sasa nataka kufanya official tusiendelee kuishi kihuni mkuu
  3. P

    JamiiForums Nataka kuoa ila sijui taratibu

    Unataka kunitoza pesa ya ushauri mkuu?[emoji28]
  4. P

    JamiiForums Nataka kuoa ila sijui taratibu

    Habari zenu wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 ni mkazi na mfanyabiashara wa Dar. Nimekua kwenye mahusiano na binti wa Kigogo (mgogo by tribe) nataka kuanza taratibu za kumtolea mahali na kuoa, sijui naanza wapi na taratibu zipi za kufuata kwenye kutoa mahari. Jukwaa lipo huru...
  5. P

    JamiiForums Naomba ufafanuzi wa namna ya kupata bima baada ya kupata ajali

    Habarini wakuu, Hivi ukipata ajali (ukigonga) na kuharibu gari lako na la mtu uliemsababishia ajali, ni taratibu gani za kufuata ili watu wa bima wahusike kucover gharama za matengenezo kama nima yako ni comprehensive?
Back
Top Bottom