Recent content by Prince Dullah

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake wa Kimanyema mapenzini

    Waambie hao, Mbu mmanyema mwenzangu, wabembe ni tabaka tu kama walivyo wabwari lakini sote ni wamanyema
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake wa Kimanyema mapenzini

    Tupeni Diamond, Ali Kiba, Abdu Kiba, Banna Zorro, Maunda Zorro, Queen Darleen, Mwasiti, Baba Levo, Makomando, Recho, Omy Dimpoz, Chege, Juma Kaseja na wengine kibao tuondoke nao.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake wa Kimanyema mapenzini

    Hatujakataa kwamba asili yetu ni Kongo, ila mababu zetu walifika hapa Tanzania kabla ya uhuru wa Tanganyika na kupewa uraia na baba wa Taifa Mwalimu JK Nyerere. Acha ukabila maana hautotufikisha popote.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake wa Kimanyema mapenzini

    Wamanyema tupo juu, mbona twajadiliwa sana, ao mna shaka na uraia wetu, Wazee wa kimanyema walifika hapa Tanzania Kabla ya uhuru na walipewa uraia na Baba wa taifa hili Mwalimu JK Nyerere.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Msaada please...Ninampenda dada yangu(Mtoto wa mama yangu mdogo)

    Hata kwa wale waongeyao kifaransa, espanyola, ki reno humwita cousin
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada please...Ninampenda dada yangu(Mtoto wa mama yangu mdogo)

    kwa kiswahili ni kaka yako ila kwa kiingereza ni your cousin.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Msaada please...Ninampenda dada yangu(Mtoto wa mama yangu mdogo)

    Pia natanguliza samahani kutokana na msg hii, niliongea maneno ambayo si ya kuridhisha, pale nilipokwambia rudi shule ukasome kiingereza. Matayo 7:7 "...ulizeni na nyi mtajibiwa, ombeni na nyi mtapewa, bisheni na nyi mtafunguliwa"
  8. P

    JamiiForums Tanzania Msaada please...Ninampenda dada yangu(Mtoto wa mama yangu mdogo)

    ukitazama languages comparison studies utagundua kwamba lugha zote za kimataifa na zile zisizo za kimataifa(ispokua) za kiafrika, wanamwita cousin, kwa maana wanaturuhusu kuwaoa, ila waafrika humwita dada ili tusiwaoe, na ndio maana nikamwambia anaruhusiwa kumuoa huyo his cousin, but kwa...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Msaada please...Ninampenda dada yangu(Mtoto wa mama yangu mdogo)

    Kaka Huyo si dada yako? in english anaitwa cousin, your sister is the one mnachangia baba, au mama, au vyote kwa pamoja, kusema kweli unaruhusiwa kumuoa, ila kwa mtazamo wa jamii yetu, bora ungeachana ni hiyo fikra na kuelekeza mapenzi yako na hisia zako kwa mtu mwengine, maana wanawake ni wengi...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Msaada please...Ninampenda dada yangu(Mtoto wa mama yangu mdogo)

    Wewe rudi shule ukasome kiingereza, tangu lini mtoto wa baba mkubwa au baba mdogo hata wa mama mkubwa na mama mdogo akaitwa SISTER kwa kiingereza, anaitwa COUSIN wewe, so she isn't his sister, she's his cousin.
Back
Top Bottom