1. Awe mwenye kumcha Mungu
Mume mwema ni yule anayeheshimu nafasi ya Mungu katika maisha yake, anayemcha Mungu na kuepukana na uovu wa kila aina. Anatambua kwamba Mungu ndiye anayepaswa kuongoza maisha yake na si vinginevyo.
Kumbukumbu 6:5 Nawe mpende BWANA Mungu wako, kwa moyo wako wote, na...
Glory to god,wiki kadhaa niliandika status ya kumtafuta mwanamke aliyeokoka,kiukweli nimepata na upendo tunaooneshana ni wa ajabu sana,mungu awabariki watu wake
Mimi ni kijana niliyezaliwa 1987 namtafuta Mwanamke aliyeokoka ambaye yupo tayari kuishi kama Mke pia mwenye wito katika kumtumikia MUNGU..0773 842 849
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.