Recent content by prince Ballack

  1. prince Ballack

    JamiiForums Tanzania Sitaki dawa

    True mkuu
  2. prince Ballack

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananificha nywila yake ya JamiiForums

    Ha ha ha ha.....! [emoji3][emoji16][emoji23] Vitu vingine sio muhimu kufatilia utaumiza moyo wako bure.
  3. prince Ballack

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba wanaume wengi wanapenda wanawake weupe?

    Hayo ni maoni yako, One's man meat is another man's poison. We endelea kufaidi weupe na wanaofaidi weusi acha wafaidi,. Always black is beauty
  4. prince Ballack

    JamiiForums Tanzania Tunapendana sana lakini hakuna anachojua ila nataka nimsaidie!

    Mwenzio ni bikra hana tatizo, Kuwa mwalimu wake
  5. prince Ballack

    JamiiForums Tanzania Amani imetoweka kwenye ndoa yangu kisa kukosa mtoto

    Pole. God first
  6. prince Ballack

    JamiiForums Tanzania Many ladies have lost good guys because they cannot identify good guys

    Sio kila mtu hunywa so wekunywa
  7. prince Ballack

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimempa mimba binti ambaye si wa ndoto zangu

    Kitanda hakizai haramu ,ulipo ogolea hukukumbuka kuvaaa soksi .pambana na hali yako
  8. prince Ballack

    JamiiForums Tanzania Nimepata msichana mwenye mwanaume mwingine

    Ha ha ha ha ha ha.........! Shukuru kwa kupata manzi muuuwazi alikueleza ukweli na ukakubaliana nayo. Be romantic, caring and respect her and 100% you will win her
  9. prince Ballack

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mpenzi wangu wa zamani anataka kuzaa na mimi

    Sawa mkuu ila opportunity comes once, heri mwanamke anaye kupenda hatakama we umpendi kwakua atafanya juu chini kukukeep na kuwin upendo wako kuliko mwanamke unaye mpenda kwakua atachukulia advantage huwezi kaa bila yeye na kukupa maumivu ya moyo
  10. prince Ballack

    JamiiForums Tanzania Many ladies have lost good guys because they cannot identify good guys

    How do Kenyans sounds?
  11. prince Ballack

    JamiiForums Tanzania Msaada wa majina ya watoto Pacha

    Safaricom $ Airtel [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. prince Ballack

    JamiiForums Tanzania Wanaume mkiondoka nendeni moja kwa moja.

    Ha ha ha ha.....! People learn from mistake my dear, msamehee tu kabadilika!
Back
Top Bottom