Recent content by primdan

  1. primdan

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Schakle 04 na werder bremen zilikuwa kubwa zamani siku hz ni za kawaida mnoooooo
  2. primdan

    IRIS-Series bora ya kipelelezi kutoka Korea

    Kila mtu na mapenzi yake ila mm naona korean drama are far ahead in story wise kuliko hata hollywood... Kuna watu washakaririshwa kuwa korean drama ni mbaya wakati hata hawajawhi kuziangalia wanaongea kishabiki tu
  3. primdan

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Hyena ni nzuri kuliko zote hapo ikifatiwa na memorist
  4. primdan

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    It's okay not to be okay
  5. primdan

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Tumia telegram
  6. primdan

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Ndio maana wakaiachia pale ili ikuvute season ya 2 uangalie
  7. primdan

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kuna wengine tukiona drama ina episodes 50 hata hatuhangaiki nayo tunaiacha vitu vifupi ni vitamu...
  8. primdan

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Nshaangalia project zake zote za huyo mama ukijumlisha reply zote pamoja na prison playbook ya 2017-2018... hii ya mwisho ukiangalia utacheka sanaaa na pia utajifunza mengi tu
  9. primdan

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    My best drama for this year so far ni hospital playlist... Huyo mama writer na director wake wanajua kucheza na hisia
  10. primdan

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Hiyo hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. primdan

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kama umesha download haiingii moja kwa moja kwenye simu inabaki telegram huko huko mpaka ww utakapoitoa mwenyewe... bonyeza hyo episode uliyo download halafu click kwenye save to downloads Sent using Jamii Forums mobile app
  12. primdan

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Haifanyi vibaya ila watu wengi ndani ya Korea wanaiangalia nao kupitia Netflix ndio maana ratings zake ni ndogo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. primdan

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kwa wale wote wanaopata shida kudownload korean drama ingieni telegram kuna group linaitwa Dramaost hilo utapata series zoooote unazozitaka na usizozitaka pia Sent using Jamii Forums mobile app
  14. primdan

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Hii the world of the married ni hatariiii Sent using Jamii Forums mobile app
  15. primdan

    Must see Movies

    Mpaka 2021 ndo inatoka Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom