Recent content by Priest_

  1. Priest_

    Je, niwekeze kupitia JATU Company PLC?

    Mkuu, vipi wale watu ambao walisha nunua shares kabla ya kufungiwa? Inamaana ndio "wameliwa"? Asante
  2. Priest_

    Bahati iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania

    Mkuu, Umekuwa unaandika post nyingi sana, nimekuwa nazifuatilia. Lakini karibia zote huwa "hazileti maana" au zinakuwa na hoja "hafifu". Nakushauri kabla ya kuandika chapisho, jaribu kufanya research ya kina. Zaidi ya hapo nakukubali sana na ninapenda unavyo andika. Kuhusu hii mada ya...
  3. Priest_

    Je, niwekeze kupitia JATU Company PLC?

    Ni wazo nzuri, ila hakuna vitabu kwenye public domain.
  4. Priest_

    Je, niwekeze kupitia JATU Company PLC?

    Kutokana na watu wengi kuniandikia kuniuliza kama ni salama kuwekeza pesa JATU company PLC. Nimeamua kufanya utafiti na maswali kwenye utafiti wangu yalikuwa kama ifuatavyo;- 1. Nani anaongoza JATU? 2. Je, ni biashara gani wanafanya? Pia hii biashara ni hatarishi kwa pesa yangu? 3. Je, nini...
  5. Priest_

    Ni benki gani naweza kudeposit Milioni 6 nivune faida baadaye?

    Hi Ndugu, Kwa kawaida kuweka pesa Bank sio njia sahii sana kuwekeza, ila ni "safety investment" amabyo haina mategemeo ya kupata "Hasara". Hii inafuata kanuni ya Investment ambayo inasema, "ili kupata faida kubwa ni lazima uwe tayari kupoteza kwa kiasi kikubwa". Pia,kinyume chake ni sahii. Kama...
  6. Priest_

    Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

    Habari Unawazo zuri la biashara, ila kama mtaalamu wa haya mambo inaonekana hii biashara sio endelevu na haitachukua mda utuifunga kwasababu ya kuishiwa au kupoteza Mtaji au gawio. "Unatakiwa kuachana na hii biashara kwanza kama ukiweza paka utapo pata majibu ya haya maswali" 1. Nakopesa watu...
  7. Priest_

    Uzalendo ndio huu, Dar-New York kwa B787-8 gharama ya mafuta ni TZS 267M

    Mkuu, Hesabu zako hazipo sahii. Kutoka Dar es salaam airport paka New York airport kwa kutumia Emirates ni Tshs 22,000,000 kwa First class, Tshs 9,800,000 kwa Business class na Tshs 4,200,000 kwa Economy class. Unaweza kuangalia hizi rate kwenye website ya emirates. kwasabu walienda kwenye...
  8. Priest_

    Msaada juu ya rejesho la jumla la mkopo benki X kuzidi makato

    Habari, Ninaweza kukusaidia kufanya mahesabu ila kama utaweza kunipa maelelzo ya kutosha.Nipe vitu vifuatavyo 1. Kiasi cha mkopo 2.riba ya mwezi au mwaka.Pia unatakiwa kuwauliza kama hii ni fixed au floating rate 3.Kiwango amabcho unaweza kurudisha kila mwezi.Hii sio lazima ila itakusaidia sana...
  9. Priest_

    Siri ya Adam, nyoka na mti wa katikati

    Nimefurahishwa sana na maswali yako 1. Wewe ni nani? 2.Kama unafichwa, je ni nini lengo la watu wanao kuficha? 3. Je, watu wanao kuficha, wapi walipata huo ufahamu? Nadhani haya ni maswali mazito na muhimu.itapendeza kama akiweza kutusaidia au Mungu akipenda ninaweza kufanya research na kuja na...
  10. Priest_

    Siri ya Adam, nyoka na mti wa katikati

    Ndugu, Historia ya Adam haipo tu kwenye vitabu vya watu Magharibi au biblia. Bali ni historia amabyo inapatikana karibia kila jamii ya kale. Ila nakubaliana na wewe kwamba inaweza kuwa ni "hadithi" imetugwa kama fumbo kuelezea kitu fulani. Nashukuru sana kwa mchango wako.
  11. Priest_

    Siri ya Adam, nyoka na mti wa katikati

    “Nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa porini walioumbwa na Mwenyezi-Mungu. Basi, nyoka akamwambia huyo mwanamke, “Ati Mungu alisema msile matunda ya mti wowote bustanini?” 2Mwanamke akamjibu huyo nyoka, “Twaweza kula matunda ya mti wowote bustanini; 3lakini Mungu alisema, ‘Msile matunda...
Back
Top Bottom