Recent content by Price tag

  1. P

    Hadithi ya umslopagaas

    1
  2. P

    Mtume Muhammad: Ndege ni wanajeshi wazuri katika vita na ongeeni nao tu

    1.Kwa mujibu wa historia gani? Mbona unalazimisha kila mtu akubali hizo historia unazozikubali wewe?.Historia zako wewe kwa mujibu wa imani yako wewe, na wengine wana historia zao wanazozikubali, waache. 2.Miongoni mwa miujiza ya mfalme Suleiman ni hizo lugha alizokuwa akizifahamu, wewe hutaki...
  3. P

    Mtume Muhammad: Ndege ni wanajeshi wazuri katika vita na ongeeni nao tu

    Tatizo lako umeyasoma hayo yote ya Qur'an ukiongozwa na chuki, hiyo ya ndege na siafu ni miujiza alopewa Suleiman na Mungu wake, sasa wewe hutaki kuiamini kwa kutumia akili yako ya kawaida ila unakubali miujiza alofanya yesu ya kufufua mfu na mengineyo kwa akili hiyo hiyo? Sent using Jamii...
Back
Top Bottom