mapenzi hayafichiki! Hivi kwa nini m2 anampata dada ka2lia na ni wife material lkn huyo mwanaume anakuwa haja2lia.? Unajua weng walioshka jiwe wanadhan wameshka dhahabu na waksha gundua cio dhahabu inakuwa too late.hii ni kwa mwanamke as well. Jaman 2badilike na kutambua uthamani wa wapenz we2.
nenden kwa dactar wa wanawake atawasaidia coz kuna pete ya kuvaa kwa wanawake na wanaume ambao ni abnomal in terms of uref il kla m2 afurahie na mkfanya hvo utampenda dem wako
jaman me naungana na wengne ila cku nzur ya kufanya sex il upate kabeb ni kuanzia cku ya kum tangu mkeo aanze mp mpaka cku ya 15 coz wapo wa2 walio na mzunguko kama wa mkeo b4 ovulation. ahesab cku hzo then mfanya cku hzo tano mtapata 2 endapo wote mko fit biologcaly.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.