Jifunze kumjali/ kumhandle mpenzio

Jifunze kumjali/ kumhandle mpenzio

prety leo

Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
9
Reaction score
4
mapenzi hayafichiki! Hivi kwa nini m2 anampata dada ka2lia na ni wife material lkn huyo mwanaume anakuwa haja2lia.? Unajua weng walioshka jiwe wanadhan wameshka dhahabu na waksha gundua cio dhahabu inakuwa too late.hii ni kwa mwanamke as well. Jaman 2badilike na kutambua uthamani wa wapenz we2.
 
Mie nilijua umeweka mafundish kumbe.........?
 
Yamekukuta prety leo??? Pole ndo maisha..
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri cha muhimu ni kumuonesha mpenzi wako kuwa unampenda na kumjali. Mtu anaweza akawa na mapenzi ya kweli lakini anabaki nayo moyoni haoneshi kwa vitendo ili mwenza wake aone kuwa anampendwa. Kila mmoja anabaki na mapenzi yake moyoni, Matokeo yake kila mmoja anaishi kwa wasiwasi bila kuwa na uhakika kama aliye naye anampenda kwa dhati. Mazingira kama hayo yanaweza yakawa ni sababu tosha ya mmoja kutafuta mwingine ambaye yuko wazi akiamini kuwa huko ndio anapendwa.

USHAURI: Hakikisha mpenzi wako anajua kuwa unampenda si kwa maneno pekee pia kwa vitendo. Vitendo vinaweza isiwe ngono kuna mambo mengi ambayo unaweza ukamfanyia mpenzi wako na akajua kuwa unampenda.
 
Back
Top Bottom