Recent content by Preta

 1. Preta

  Zuchu achaguliwa tuzo ya Afrimma

  Katoto kanaimba bwana.......wacha kang’are........
 2. Preta

  Media za Tanzania ziepuke kufungiwa

  Yaani ni hovyo kabisa......huyo babalevo atawacost......mjitu unaropoka hovyo hovyo haijali ni nani na nani wanasikiliza.....wanadhani watu wote wanasikilizia redio kwenye vilabu vya gongo...... Huwezi kukuta huu urojo radio one hata siku moja.......
 3. Preta

  Kata ya Tungi Morogoro tutapiga kura za hasira

  tulipotoka ni karibu sana kuliko tunapoenda........
 4. Preta

  Kata ya Tungi Morogoro tutapiga kura za hasira

  Ndio mjue sasa......maendeleo hayana chama......
 5. Preta

  Kata ya Tungi Morogoro tutapiga kura za hasira

  Maendeleo hayana chama........
 6. Preta

  TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

  🤷🏻‍♀️.......najua vya Yaeda.....Tumatu na Karatu...... Huko mjini namna hiyo sivifahamu......
 7. Preta

  TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

  Jamani........😳...... Kulikoni tena ghafla hivi.......?...... RIP Agnes....
 8. Preta

  Nimeiokota huko mbali (Mume wa Anita na Mchepuko wa Anita)

  Nimempenda sana Hassan.......heshima na adabu vinaweza kuimarisha ndoa zingine........
 9. Preta

  Asije mtu akawadanganya kuhusu nguva

  Huyu si dugong......?.....ndio nguva.......?
 10. Preta

  Kenya: Mama wa miaka 42 ataka kuolewa na mtoto wa miaka 14

  Ni ile hela ya covid mmekula......sasa mnaanza kupata wazimu...... Haki vile mmefanya......hamtabaki salama....
 11. Preta

  Basi gani luxury barabara ya Dar-Arusha?

  Njoo na Marangu Coach wewe.....hutajuta.......
 12. Preta

  Mike Oliver, Mzungu mtalii aliyetembea na wanawake 300 nchini Kenya

  Hatari sana hii......natumaini hakufika Tanzania.........
 13. Preta

  Wakazi wa Madale wapatwa na taharuki baada ya kuvamiwa na Nyati wa Porini

  Inaweza kuwa alikuwa serval cat.....wahuni humuuza kama chui......just incase chui hakuonekana.........
 14. Preta

  Wakazi wa Madale wapatwa na taharuki baada ya kuvamiwa na Nyati wa Porini

  Ukitulia kidogo......utanielewa nimemaamisha nini........
Top Bottom