Recent content by Pressing Trapo

  1. Pressing Trapo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    T4HZD paripesa piga pesa
  2. Pressing Trapo

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Qatar kuinunua Man United kwa £6b ambayo ni sawa na Tshs trilioni 16.9

    Pound ikishafika billion ukibadilisha kwa TZS hiyo ni Trillion.
  3. Pressing Trapo

    JamiiForums Tanzania Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

    Wanangu wa Buhongwa twenzetu hapa[emoji1787]
  4. Pressing Trapo

    JamiiForums Tanzania Kocha Man United afuta mapumziko ya wachezaji baada ya kichapo cha 4-0

    Omba nafasi ya ukocha ukaokoe jahazi linazama.
  5. Pressing Trapo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, mtoto wako angekuwa na umri gani endapo ungepata mimba wakati ukishiriki ngono kwa mara ya kwaza?

    Uzoefu unao kumbe fungua pm sasa
  6. Pressing Trapo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nahisi mdogo wetu wa kike kaongopa kuwa yupo field ila nahisi huenda kafungiwa na Mwanaume huko mkoani

    Usiwaze yupo geto Veyula tumejifungia nampa ukuni nyama
  7. Pressing Trapo

    JamiiForums Tanzania Wakuu, natafuta Bodaboda au Bajaji ya kuendesha kwa mkataba

    Tuko pamoja mkuu
  8. Pressing Trapo

    JamiiForums Tanzania Wakuu, natafuta Bodaboda au Bajaji ya kuendesha kwa mkataba

    Shukurani mkuu
  9. Pressing Trapo

    JamiiForums Tanzania Wakuu, natafuta Bodaboda au Bajaji ya kuendesha kwa mkataba

    Salaam wakuu, Mimi kama kijana nimekuja kwenu Kama Vile mama Samia alivyotuhasa kuwa kazi zipo nyingi mtaani. Mama anakazia hapa Vijana tujishughulishe sasa mimi nimechagua kuwa dereva wa boda au bajaji. Yoyote ambaye anatafuta dereva wa kumkabizi chombo nipo hapa. Location: Mwanza, Nyegezi...
  10. Pressing Trapo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Vitesse naye anapasuliwa kikatili na kaodd kake kadogo
  11. Pressing Trapo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii mechi ya Man city ilikuwa inaonekana haijachangamka toka kitambo nilikuwa naigopa
  12. Pressing Trapo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Atletico kamwaga mamaee
Back
Top Bottom