Kutoka katika ripoti ya Deutsche Welle (DW) leo mchana taarifa zinaeleza kuwa nchi wahisani wa Tanzania wamechelewesha misaada ya bajeti ya nchi ambayo ndio inasimamia shughuli kuu za taifa. Nchi hizo wahisani zijumuisha Norway, Sweden, Denmark, Uingereza, Finland, Ujerumani, Canada, Japan...