Recent content by Prentince

  1. P

    Nakopesha simu za mkopo aina ya Samsung A06, A07, A16 na A17

    Samahani mkuu kama inakukwaza lakini cash Haiwezi kufanana na mkopo. Kuna gharama za usimamizi, Kuna hatari ya hasara Kuna riba ya mtaji na mambo mengine. Kama utapendelea kati ya hizo au ndugu yupo naomba unijulishe mkuu
  2. P

    Nakopesha simu za mkopo aina ya Samsung A06, A07, A16 na A17

    Habari JF Kama kichwa kinavyojieleza ninakopesha simu za mkopo aina ya Samsung. Modeli no A06, A07,A16 na A17. Njoo na kianzio Cha shillingi elfu50 kwa Samsung A06 na A07 Ili uanze kumiliki simu Yako. Viambatanisho ni namba ya NIDA, leseni ya UDEREVA au kitambulisho cha mpiga kura. Dar...
  3. P

    Hivi makampuni ya simu za mkopo yana mpango gani na simu zinazoondolewa mkopo?

    MIMI NAKOPESHA SIMU ZA MKOPO KUANZIA A06, A07, A16,A17 KWA WATU AMBAO WANAPENDA SIMU ZA MKOPO NI DM. KIANZIO ELF50 KWA A06,A07 KITAMBULISHO CHA NIDA LESENI YA UDEREVA KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA
  4. P

    Israel ni nchi ya Wayahudi, soma Hesabu 34:1-15

    Walikua wanasafiri wakitokea wap kaka?
  5. P

    Wengi hawajui siri zilizopo ndani ya vitabu hivi vya dini, yaani Biblia, Quran na Tanakh

    Una maanisha tabia zote au baadhi alizokuwa nazo mzazi wangu? Embu nielezee zaidi mkuu!
Back
Top Bottom