Recent content by preciouse

  1. P

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kuuza maji

    Habari marafiki, naona kama fursa zipo nyingi ila hatuzitumii, nafikiria sehemu zenye uhaba wa maji mtu akiwa na tank la kama lita 5000 hivi akanunua maji kwa supplier akauzia watu wa eneo hilo kwa ndoo si ni biashara hiyo pia au mnaonaje?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Samahani lakini

    Biashara ya maziwa. heading ilikua "Maziwa fresh"
  3. P

    JamiiForums Tanzania Samahani lakini

    Nimeweka mada muda si mrefu ikaondolewa na nilikua nimeshaanza kupata comments, naomba kuuliza kuna kitu nilikosea kwenye uandishi wa ile mada au!! kwanini imeondolewa haraka hivyo?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Maziwa Freshi

    Habari wana JF, natafuta maziwa fresh ya ng'ombe kwa ajili ya kuuza. nipo Dar ni wapi nitapata kwa bei nzuri?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Hivi mtaji wa 30,000/= unaweza kufanyia biashara ipi?

    Dah hili wazo nilikua nalo nikawa sijui wapi karibu pa kupata maziwa fresh, nmegundua maeneo mengi mjini hakuna maziwa halisi ya ng'ombe. unaweza fahamu ni shilingi ngapi kwa lita hapo ubungo?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada pa kupata viatu kwa bei nzuri.

    Habari wana JF, Naomba anayejua aniambie ntakapo pata viatu vizuri vya ngozi (sendozi/makubazi) vya kike na kiume kwaajili ya kuuza, kuna mtu ananiambia Arusha ni bei rahisi na kuna viatu vizuri zaidi ya Kenya ni kweli? au kama kuna sehemu nyingine pia ntashukuru. Pia eti kati ya Nambanga...
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana mapenzi kweli huyu au anataka kulelewa tu!

    Siyo hadithi ni kweli. Nampenda ndiyo lakini si kiasi cha kuvumilia ujinga nafikiria hata akisema kunioa atakua mume wa aina gani.
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana mapenzi kweli huyu au anataka kulelewa tu!

    :laugh:
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana mapenzi kweli huyu au anataka kulelewa tu!

    Mwenzangu nafikiri huyo mwenzangu ndo analipa kodi na bills nyingine mi nalisha.
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana mapenzi kweli huyu au anataka kulelewa tu!

    No sifurahishwi na nshamwambia atulie tu na huyo mwanamke wake wataelewana ila anadai ananipenda sana hawezi kuniacha, mwanzo sikuamini kama kweli anademu ila alinionesha hadi conversation zao inaonesha uhusiano wao haupo kivile tena imebaki kutamkiana tu sasa kutokana na ushauri wenu ndo napata...
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana mapenzi kweli huyu au anataka kulelewa tu!

    Asante ndo nlikua nawaza nimtokeje, tatizo pia tunaongozana kutoka kazini.
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana mapenzi kweli huyu au anataka kulelewa tu!

    Sijawahi kumtakia ila hua najaribu kumuambia hali halisi kama sina hela, mzazi wangu anaumwa namwambia gharama nnazotumia kununua madawa ili awajibike kama mwanaume ila anauchuna tu.
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana mapenzi kweli huyu au anataka kulelewa tu!

    Nliweka post jana tu, leo ndo nasoma coments zenu nitazifanyia kazi muda si mrefu.
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana mapenzi kweli huyu au anataka kulelewa tu!

    Nimezaliwa hapa, nimenasa tu kwenye tundu bovu.
  15. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana mapenzi kweli huyu au anataka kulelewa tu!

    Hahahhah
Back
Top Bottom