Recent content by Preciousdebbie

  1. Preciousdebbie

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

    Well said I appreciate you
  2. Preciousdebbie

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio mimi ingekua mm akii angetoa tu pesa kwa kumchamba woiii
  3. Preciousdebbie

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara kwa Tsh. 3M

    Tyr
  4. Preciousdebbie

    JamiiForums Tanzania Natafuta Law Firm ya kufanya kazi

    Daah ok sawa
  5. Preciousdebbie

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara kwa Tsh. 3M

    Samahani pm ndo wap ndugu yangu
  6. Preciousdebbie

    JamiiForums Tanzania Utajuaje huyu mwanaume kakupenda?

    Yeah absolutely
  7. Preciousdebbie

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara kwa Tsh. 3M

    C hapo ulipo nije kufungua na mimi ndugu ili tuwe wa3 tu
  8. Preciousdebbie

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara ya milioni 3

    Wapendwa niko na ml3 nimepewa na mzazi wangu ili nifungue biashara mahali Dar es Salaam lakini biashara hiyo iwe na uwezo wa kuleta faida laki4 kwa mwezi na iwe nje ya frame wenye mawazo tafadhal mnisaidie.
  9. Preciousdebbie

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara kwa Tsh. 3M

    Naweza na mm ukaniungisha maana nawaza biashara na mm kwa hyo pesa kama yako m3
  10. Preciousdebbie

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

    Tena yule dada baada ya huduma akaamua kutoa shuka n kutandika lingine kutokana n muda akashindwa kufua bado ni mmbaya tu huyo mtu wanaume mnaboa sanaaaa
  11. Preciousdebbie

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

    Je mfano ww mwanaume umemuomba girlfriend wako aje akutembelee ajue unapoishi for the 1st tym then baada ya kufika ukampokea kwa mwashtete zotee mkaingia ndani ukaagiza chakula mkala pengine mkajiongeza mkafanya mlichofanya baadae yule dada anaamua kutaka kurud kwao then ukamuaga tena kwa hug...
  12. Preciousdebbie

    JamiiForums Tanzania Natafuta Law Firm ya kufanya kazi

    Habari mimi ni mwanafunzi wa stashahada ya sheria kama kuna sehemu ipo ya wakili msomi naomba anisaidie ili niendelee kujikwamua kimaisha please ambae yupo anamjua anisaidie
  13. Preciousdebbie

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Kama ucfa zote y not
  14. Preciousdebbie

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Vigezo na masharti kuzingatiwa
  15. Preciousdebbie

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Wazi afandeee
Back
Top Bottom