Recent content by Prayer

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mrema ana tatizo gani wakuu? Afya yake imedhoofu sana

    Muombe Mungu msamaha,hujafa hujaumbika,sote hatujui mwisho wetu.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kiimani zaidi

    Ubarikiwe kaka,naomba kuongea nawe ila pm zinanishinda.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Niliapa kuyafuta machozi ya mke wangu mpaka naiaga dunia

    Nami nashukuru Mungu,kupata mume mwenye tabia kama zako,Mume wa aina yako ni faraja tosha,ubarikiwe sana.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Daktari bingwa wa wanawake kuhusu uzazi

    Nami nahitaji msaada km huo
  5. P

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani

    Mara mbili, na zote nimepasuliwa
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani

    Habari ndugu zangu? naombeni ushauri, namiaka 30 ni mama wa mtoto mmoja wa miaka nane nilijifungua vizuri, ila tatizo limeanza mimba zinazofata ikifika miezi saba nablid ghafla bila maumivu yoyote na kupoteza mtoto na mimi kufanyiwa upasuaji, nimefanya vipimo mimi na mr vipimo havioneshi...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Uchawi kupitia panya

    Hatari!
Back
Top Bottom