Recent content by pratty

  1. pratty

    Nina kidonda karibu na haja kubwa

    Pole mkuu, probably una perianal fistula tiba yake opasuaji + antibiotics unapona kabisa. Nenda hospital kamuone daktari wa upasuaji atakusaidia.
  2. pratty

    Kupata hedhi baada ya kujifungua

    Dada unaweza kupata mimba bila hata kuanza kuona siku zako baada ya kujifungua, hiyo lactating amenorrhea inaweza fika kikomo na yai likapevuka bila wewe kujua, mwishowe ukajikuta mimba ishaingia. tumia hata njia za uzazi wa mpango kama hauna mpango wa kuzaa harakaharaka Ms mol,
  3. pratty

    Ushauri; Mke wangu kapata ujauzito mwingine wakato bado ana mtoto wa miezi 9 anayenyonya

    Anaweza kuendelea kubaki na hiyo mimba na akajifungua kwa operation (elective caesarean section), kwakuwa kuna hatari ya mshono kupasuka endapo ataruhusiwa kukaa hadi uchungu uanze wenyewe. Kuhusu mtoto huyo sio mdogo sana, ukimlea kwa matunzo mazuri especially kwenye chakula hakikisha anapata...
  4. pratty

    Mtoto wangu alipofikisha miaka 2 alianza kusumbuliwa na tatizo la kupumua kwa shida

    Mpeleke kwa daktari bingwa wa magonjwa ya masikio, pua na koo (ENT specialist) akafanyiwe uchunguzi, inawezekana ana ugonjwa unaitwa adenoid hypertrophy
Back
Top Bottom