Mteule halisi
Senior Member
- Oct 21, 2014
- 199
- 96
Habari zenu wataalam wa afya!
Mke wangu alijifungua kwa operation mtoto ana miezi tisa sasa, sasa huwa tunashiriki tendo kwa kuangalia kalenda tu kujua siju za hatari na salama.
Sasa imetokea mke wangu kapata ujauzito na mtoto ana miezi tisa na bado ananyonya, wife kapanic na anaitaji kutoa mimba.
Je, hii ina madhara kiafya hasa kwa mtoto kama asipotoa mimba?