Recent content by prancmdegela

  1. prancmdegela

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Lazima atakua ticha Mabagala huyo [emoji3][emoji3][emoji3]
  2. prancmdegela

    Steve Nyerere: Sing'oki kihuni, kikao chao ni kinyume na Katiba. Nampa Mbunge saa 48 aombe radhi

    Unajua kuna mambo ambayo unaweza ongea kama alivyoongea bila kujia impact ya maneno yake. Kwanza kabisa kwa mujibu wa Sheria mwenye Mamlaka ya kutangaza matokeo ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa Tanzania Bara huku. Kama walimtangaza mbunge fulani ni mshindi basi kuna nafasi ya aliyeshindwa kukata...
  3. prancmdegela

    Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Kupanga ni kuchagua! Wengi wa wale walioanza na ideology ya Ubepari wakati nchi zao bado ni changa wameishia kupata matabaka either ya kikanda au kikabila! Inawezekana ukaona kuwa tumechelewa sana lkn amini kuwa misingi aliyoijenga mwalimu ndio leo tupo wamoja hivi unavyoona hatuulizani makabila...
  4. prancmdegela

    TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

    Kaandika vitabu au kaunganisha materials mbalimbali kutoka ktk vitabu vya wazungu??? No wonder alisema waliompita ni Mungu na Mzungu! Kuna ma TOs wan nguvu wengi sana na walifaulu vizuri sana na wapo wanatumika sehemu nzuri sana! Unamjua Lusekeli?? Emil Patrick? Ma wengine wengi tu ni ma...
  5. prancmdegela

    Jambazi aliyetuibia TV mwaka 1988 nimemuona leo akiwa mzee

    Unadhani baba yako angekuwepo hai alafu ukampatia taarifa kuwa umemuona jambazi huyo angefanya nn? At the end of the day ange-smile tu na kusema “aaah, yalishapita hayo mwanangu kumbe, bado yupo hai?”
  6. prancmdegela

    Aliniita kilaza kisa nilipata 2 ya PCB naona upepo umeanza kuwa mbaya kwake

    Ningekuelewa zaidi kama ungesema alikucheka ulivyopata div 2 lakini sasa hivi wewe ndio umemuajiri katika kampuni yako!!!
Back
Top Bottom