Recent content by Pprosy

  1. P

    TAHADHARI: Kwa watumiaji wa juice za AZAM

    Pole saana mdau,ila wapendwa tusipende saana hivi vitu vya viwandani ,,,,tujaribu kutumia matunda kutengeneza wenyewe ndo safe zaidi,,mungu akuponye
  2. P

    Waliobanwa katika ajali wafariki

    So bad,hakika hatuna uongozi tz
  3. P

    Hii ni kawaida ama nina shida gani mimi?

    pole sana ndugu,hiyo siyo hali ya kawaida,,nashukuru unamwaamini Mungu,u just keep on praying akuondolee kabsaaaa hiyo hali,,n plz kwasababu umeshajifaham try to control ur feelings especially HASIRA.
  4. P

    Mwanafunzi, Baba yake wauliwa kikatili na BodaBoda Bunju "A" Shule

    inauma saaana kesi kama hii maana itajumuisha waliomo na wasiokuwemo,,,,,,imagine aliyekuwa amebebwa kwny hiyo pikipiki nae katupwa rumande(ni kwel he is my cousin).......
Back
Top Bottom