Recent content by powercert_Tz

  1. P

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kweli kabisa kiongozi nae ni binadamu, sio mkamilifu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mpaka sasa Rais Samia anafanya vizuri katika sekta ambazo zinawagusa watu wengi, sekta kama ya kilimo, elimu na afya ni sekta muhimu na zinahudumia Watanzania wengi. Kwa kuonyesha kujali na kuwapenda watu anaowaongoza, Rais Samia baada ya kuapishwa aliamua kukazia fikra sekta hizo ili kuboresha...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ni kwa jinsi gani Katiba Mpya inaweza kushusha bei za vyakula?

    Kwa inavyo onekana umeelewa swali ila huna majibu ya kujitosheleza ndio maana unajitikita katika kutengeneza maswali unayotaka. Ulipaswa kueleza ni kwanamna gani ya sasa inasababisha gharama za maisha kama unaona swali lilipaswa kuulizwa hivyo kisha ueleze ni kwa namna gani mpya itatatua hizo...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ni kwa jinsi gani Katiba Mpya inaweza kushusha bei za vyakula?

    Nacho kiona kwenye hizi harakati za katiba mpya, ni maswala ya madaraka tu. Kwamba wapinzani wameshagundua hawawezi kushika dola kama katiba itaendelea kua hii, hivyo wanajaribu kahakikisha tunaichukia hii katiba tuliyo nayo ili tupate hiyo nyingine itakayo wapa wao mwanya wa kupenya kwenye...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ni kwa jinsi gani Katiba Mpya inaweza kushusha bei za vyakula?

    Mimi nimeishia darasa la saba, na hili swala silielewi ndio maana nimeuliza. Mimi ni Mtanzania na naishi hapa hapa nchini. Bei za vyakula imepanda ila nashindwa kuelewa ni kwanamna gani katiba niliyo nayo sasa inaweza kusababisha mambo hayo, kiasi kwamba tukiwa na katiba mpya tutakua na unafuu...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ni kwa jinsi gani Katiba Mpya inaweza kushusha bei za vyakula?

    Kumekuwa na hoja kutoka siasa za upinzani, wakidai kwamba kuna uwezekano wa bei za vyakula kushuka iwapo tu tungekuwa na Katiba Mpya. Hii ni hoja inayowavutia sana wananchi ila hakuna hata kiongozi mmoja wa upinzani aliewahi kueleza ni kwa jinsi gani jambo hili linawezekana. Tafadhali kama...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa kituo kipya cha daladala cha Kinyerezi

    Utachelewa sana kuelewa, tafuta mdogo wako au mtoto wa jirani anaesoma sekondari akufundishe. Muombe akufafanulie uhusiano kati ya maendeleo ya nchi na uhusika wa Rais katika maendeleo hayo.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mtwara na Mnivita walamba asali, serikali ya Rais Samia inaendelea kutekeleza ahadi zake

    Baada ya mateso ya muda mrefu kwa wananchi wa Mtwara na Mnivita kutokana na changamoto ya ubovu wa barabara, serikali sikivu ya Dkt. Samia Suluhu Hassani imetatua changamoto hiyo kwa kamilisha ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita 50km kwa kiwango cha lami. Lengo la serikali ni...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa kituo kipya cha daladala cha Kinyerezi

    Kituo bado hakija kamilika mkuu
  10. P

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa kituo kipya cha daladala cha Kinyerezi

    #mamayukokazini #mamaanafanikisha #kaziiendelee
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mikumi ahamia CCM

    Alie sababisha bei ya vyakula kupanda ni Rais Samia? (huku ni kukosa point) . Bei ya maharage ni sawa na nyama?(Huu ni uongo mtupu)
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mikumi ahamia CCM

    Hana namna, upinzani hawana ushawishi tena. Hata ukisikiliza mikutano yao, hamna point, sana sana ni kuwadanganya wananchi
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mikumi ahamia CCM

    Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Mikumi, Bakari Hasani amekihama chama hicho na kujiunga na CCM na kusema ameridhika na kazi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan na ameamua kumuunga mkono. Rais Samia anaupiga mwingi sana. #mamayukokazini #mamaanafanikisha #kaziiendelee
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha umwagiliaji

    Mkoa wa Morogoro umepatiwa bilioni 16 kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ya umwagiliaji na ya kuhifadhi mazao. Hii itasaidia kukuza shughuli za kilimo mkoani humo na kuongeza uhakika wa upatikanaji wa chakula. Lengo la Serikali ni kuhakikisha upatikanaji wa chakula cha kutosha katika kipindi...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Rais Samia ameboresha sana sekta ya elimu, tunaimani atatubadilishia mfumo wetu wa elimu ili kuendana na mahitaji ya ulimwengu wa sasa. Pia nampongeza kwa nia yake ya kutaka kurudisha mchakato wa katiba mpya, Mh. Dkt Samia Suluhu ni kiongozi mwenye mitazamo chanya sana bila kujali itakadi za...
Back
Top Bottom