Recent content by potter golden

  1. P

    Lukuvi: Standardization ifanyike ili matokeo ya wanafunzi yalingane

    yaani hapo iko ivi 'maziwa yapo kidogo watu ni weng il maziwa yatoshe 2natia maj' ndo kitu serkal imefanya. Kwamba serkal yenyewe inaangalia quantity sio quality. Nashindwa hata kuiilewa hii serkal yetu nafkr kuna haja yakua na viongoz wenye upana wa fikra sio sample hii
  2. P

    Mkakati wa Lukuvi, Wassira kung'olewa na Wasomi wa Chadema waiva Morogoro

    how do u know kwamba hawana nia ya kuwasaidia wananch?
  3. P

    Kagasheki: OBC haimiliki ardhi Loliondo! Amwambia Msigwa 'kaja bungeni jana'

    kulingana na lugha yake mh kagashek anapeleka tuhuma hzo moja kwa moja kwa usalama wa taifa. Maji shingon wao kwa wao wanalaumiana.,...hebu kwanza.... Waiter.... Kinana ya moto tafadhal aka NDOVU.
  4. P

    Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

    vilevile chama cha magaid(CCM). ha ha ha ha ha.... Glorious! CDM go ahead!
  5. P

    Kagasheki: OBC haimiliki ardhi Loliondo! Amwambia Msigwa 'kaja bungeni jana'

    inawezekana nae kazawadiwa sut na hao warabu si ndo swaga zao
  6. P

    Ushauri wangu mgumu kwa kamanda Mbowe kuhusu CHADEMA kujitoa kwenye tume ya katiba

    apply critical thinking, analyze thing logically. Usibwatuke haitakusaidia katika maisha.
  7. P

    Msigwa awashika CCM: Ahoji kwanini hawaombi ushahidi wanamwita tu Mwongo

    haya magamba noma sana. Madin haya faida kwa watz, sato hatuelew zinakopelekwa wakati watoto wadogo wankufa kwa utapiamlo, afu barabara 2najengewa kwa mikopo afu bado elimu kwa watanzania inashuka siku had siku. Afu bado na tembo wetu nao mnachukua. Nyie watu wa ajabu sana!
  8. P

    Msigwa awashika CCM: Ahoji kwanini hawaombi ushahidi wanamwita tu Mwongo

    haya magamba noma sana. Madin haya faida kwa watz, sato hatuelew zinakopelekwa wakati watoto wadogo wankufa kwa utapiamlo, afa barabara 2najengewa kwa mikopo afu bado elimu kwa watanzania inashuka siku had siku. Afu bado na tembo wev nao mnachukua. Nyif watu wa ajabu sana!
  9. P

    Msigwa awashika CCM: Ahoji kwanini hawaombi ushahidi wanamwita tu Mwongo

    superb msingwa wakimbize hao ccm safar hii lazma watoroke, bungen hapakaliki
  10. P

    CHADEMA ARUSHA: Mkutano Mkubwa wa Hadhara Kesho Tarehe 2 viwanja vya Ngarenaro

    piga hao mafsad, majangili mpaka tembo wetu warudishwe
  11. P

    Siri kuu za CHADEMA hizi hapa...

    kamanda lisu ni zaid ya wabunge 250 wa KIJANI
  12. P

    Mtazamo kuhusu video ya lwakatare

    CHADEMA ni nguvu ya umma. CCM mnaweza kushindana na umma wa watanzania? Achen propaganda fanyen kaz watanzania twashwawajua nyie ni waongo, mafisad, majangili kila kukcha mnapanga kuiba raslmal na kukandamiza haki za wanyonge. Acheni kuichafua CHADEMA .kwan mchezo wenu ushajulikana na watanzania...
  13. P

    Stop Ben Saanane (SBS) GROUP ni Kundi Haramu, Tusikubali kuingia mtegoni... Nawaonya Wahusika!

    jibu kwa hoja jamaa yangu mipasho is nonsense. Mtoa mada kazungumza kitu cha msingi sio kwa maslah ya wana jf tu ila taifa kwa ujumla na ususani vijana kwan ukomboz wa taifa letu ni kazi yetu vijana hatupaswi kuwa wafuac au washabk wa vyama tu bla sababu ya msing lazma utumie akil yako na uwe...
Back
Top Bottom