Umaarufu una pande mbili mtu akizaliwa anapata umaarufu, hongera nyingi na majina mapya,akifa umaarufu unaongezeka pole ni nyingi na rambirambi za kutosha,mzoga ukianza kuonza umaarufu unaongezeka,inzi,funza,fisi wote wanaupa umaarufu mzoga,itazame CHAUMMA na umaarufu wake utaelewa ninachomaanisha.