Recent content by poteleambali

  1. P

    JamiiForums Tanzania Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Wapi Mwaipopo?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

    hongera mkuu, ila ulipaswa kurudi tena baada ya mwezi 1
  3. P

    JamiiForums Tanzania Dawa za PEP zinaweza kufanya kazi masaa 52 baada ya kushiriki ngono?

    Mimi najua hivyo, hata yeye pia, ila anasema baadhi ya machapisho ndo yameeleza hivyo, tena yakisema kuna baadhi ya nchi PEP haitolewi baada ya masaa 36 wakiamini effectiveness inakua nfogo sana
  4. P

    JamiiForums Tanzania Dawa za PEP zinaweza kufanya kazi masaa 52 baada ya kushiriki ngono?

    Ahsante, nitamwonyesha hii post yako uliyonukuu WHO (reliable source) ingawa ni muda kidogo hatajaonana na baada ya post yako nimempigia hapatikani
  5. P

    JamiiForums Tanzania Dawa za PEP zinaweza kufanya kazi masaa 52 baada ya kushiriki ngono?

    Duuu, ndugu umesoma kweli nilichosimulia? Huyo baadaa kutokea yaliyotokea huyo bwana alienda hospitali, akapimwa na hakua na maambukizi ndo akapewa hizo PEP
  6. P

    JamiiForums Tanzania Dawa za PEP zinaweza kufanya kazi masaa 52 baada ya kushiriki ngono?

    Mkuu nimesimulia alichonieleza, kuhusu hospitali , aliulizwa tu exposure ilikua lini alivyojibu ikaonekana ni ndani ya masaa 72 akapewa. Haya mengine ni katika kudodosa machapisho ndo akaoni hivyo
  7. P

    JamiiForums Tanzania Dawa za PEP zinaweza kufanya kazi masaa 52 baada ya kushiriki ngono?

    mmh, ni fundi wangu mkuu ila alichonieleza kimenitia simanzi lakini pia kimenisukuma kufanye utafiti
  8. P

    JamiiForums Tanzania Dawa za PEP zinaweza kufanya kazi masaa 52 baada ya kushiriki ngono?

    sasa hawa wasaidizi wamekosea kuset msingi as per floor plan, naona noma kumsimamisha kazi
  9. P

    JamiiForums Tanzania Dawa za PEP zinaweza kufanya kazi masaa 52 baada ya kushiriki ngono?

    mmmh, yani jamiiforum! Kama ni mimi kwanini nizunguke, hapa nilipo unaniona sura, au chochote kinafanya unitambue tukionana?, kama sivyo ya nini ni zunguke
  10. P

    JamiiForums Tanzania Dawa za PEP zinaweza kufanya kazi masaa 52 baada ya kushiriki ngono?

    Habari, nikiwa nasimamia ujenzi wa kanyumba kangu nikawa simwelewi fundi wangu mkuu. Mara nyingi amekaa chini ya mti amewaachia kazi mafundi wasaidizi pamoja na vibarua. Siku ya 3 ikabidi nimuulize kwanini inakua hivyo wakati mimi nimepatana na yeye? Akaniambia mkuu ni wiki ya 3 sasa tangu...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

    Mkuu masaa 64 ni mengi kidogo japa yapo ndani ya 72. Je Mungu alikuponya ?
  12. P

    JamiiForums Tanzania KWELI Kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya saa 72

    Mkuu katika uzoefu wako uliishawahi shuhudia mtu aliyeanza dose baada ya masaa kama 50 na mwisho akaja kubaki negative?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Bapa limepita na mzee wa upako

    Yohana sura ya 14 3. Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu, ili nilipo mimi, nanyi muwepo. 4 Nami niendako mwaijua njia. 5 Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako, nasi twaijuaje njia? 6. Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima, mtu haji...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    kwahiyo huyu Iryn na Khumbu wa Konda Msafi ni ipi pisi kali?
Back
Top Bottom