Recent content by posuta

  1. P

    JamiiForums Tanzania Itatuchukua Miaka Mingi saana Kumpata Rais Mchapakazi Aina ya Samia Anayeshinda na Kukesha Akifanya Kazi. Maisha Yake Ni Sadaka Kwa Taifa letu

    Mnyonge mnyongeni lakin haki yake mpeni. Kwa umri wanguu huu mama kafanya makubwa na katatua kero kwa vitendo Mungu azidi kumlinda
  2. P

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar Yapanda kwa Nafasi 105 Kwa Ufanisi huku Bandari Duniani huku Bandari ya Mombasa Ikiporomoka.Kongole Nyingi Kwa DP World

    Choice variable Mungu akubariki aisee kwa kazi nzuri.kwenye ulimwengu wa social media tunahitaji watu wengi kama wewe hongera sana unaeleza mambo mengi mazuri ya serikali kwa ufasaha mkubwa
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wajinga Ndiyo Waliwao. CHADEMA Wanakamuliwa na Kuchangishwa Michango Halafu Viongozi Wao Wanafanyia Starehe Na Kujineemesha. Amkeni CHADEMA Usingizini

    Lukas mimi huwa napenda sana maandiko yako upo vizuri sana .mimi ningeshauri usiwajibu maana wewe kwenye kujibu haupo vizuri sana.majibu yako huwa yanaharibu utamu wa hoja .kwenye kujibu ungemwachia tlatlah nampenda sana na huwa anajibu vizuri na hana hasira daima yeye hutumia jina gentlemen
  4. P

    JamiiForums Tanzania Bwawa la nyerere limeishia wapi ?

    Bwana lilishakamilika ila miundo mbinu ya kubeba 400kv ndio bado inaendelea kuboreshwa ukiangalia TBC 1 kipindi cha tunatekeleza inaonyesha miradi mingi sana iliyofanywa na inayoendelea kufanywa.ila naumia tunajenga kizazi kilichofumba macho na kuziba masikio hongera sana away ya sita
  5. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 5 ya Samia madarakani ametekeleza miradi mikubwa mingi kuliko Rais yeyote wa kabla yake

    Nakubaliana na mtoa hoja kwa 100% kafanya makubwa sana.kasoro ninayoiona tatizo lipo kwetu wahusika makubwa haya na mazuri haya hayasemwi kwa ukubwa wake.ilitakiwa uvccm kijiwe chochote ulipo cha kahawa wakumbushe watu mazuri haya maana wanayajuwa.mimi huwa nikiyasema haya watu woote huwa...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ukrain karudisha maeneo yote jana
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mama tukubali kawa mzigo kwa Tanzania!

    Miradi yote ya kimkakati kaikamilisha kwa muda muafaka. Jana .jumapili mradi mwingine mkubwa wa kimkakati pale kidunda kuongea vizuri sana msemaji wa serikal.mnyonge mnyongen lakin haki yake mpeni kafanya makubwa mazuri.yote ya magufuli kayakamilisha kwa 100% huwa nachukia sana mtu...
Back
Top Bottom