Membe endelea kuhangaika tu. Tunajua hata leo umewakusanya vijana 30 pale kigamboni ili uwapatie semina wakakutangaze wewe na kumchafua Lowasa! Ila mpaka hapo umechemka hatukutaki na wala hufai kuwa rais hata kidogo.
Nadhani uko kwenye kina cha maji yanayokufurika ndugu yangu! Ccm itakaa na kudumu na unajua ni kwa nin? Kwa sababu viongozi wake sio waloho wa madaraka! Ila nyie wapinzani? Mhhhhhh!
Hiyo inaonyesha dhahiri kuwa Lowasa ni kiongozi mwenye hekima na anaekubalika na wengi! Wivu na tamaa za watu wachache walipanga kumharibia lakini wameshindwa!
Fisadi mmemkumbatia halafu mnatuzuzua kwa uongo wenu eti LOWASA fisadi! Nyie majambazi msitudanganye! LOWASA HAJATUIBIA CHOCHOTE! Mnafikiri hatujui kama mlimtoa ili mpate kuiba?
Ninamini hata baba wa Taifa angalikuwepo angempa LOWASA nchi na sio huyo mwizi wa mke wa mtu. Kama kaweza kuiba mpaka mke wa mtu ameiba kias gani? Au kwa sababu hatumuon akiiba? Huyo ndo jambazi hatari sana! LOWASA TU 2015!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.