Tetesi: Malengo ya Lowassa 2015 haya hapa!

Tetesi: Malengo ya Lowassa 2015 haya hapa!

Edward Lowassa, waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond bado anautaka Urais 2015 kwa bei yoyote ile, licha ya kuchafuka vibaya kimaadili, hii ni kwa mujibu wa vyanzo ndani ya CCM.

Akishindwa kuupata Urais, yuko radhi awe "kingmaker"
aweke watu wake ili apate nafasi nyingine ya juu, kama ya Makamu wa Rais au Waziri Mkuu.

Watu ambao Lowassa anapanga kuwaweka iwapo jina lake litakataliwa na Kamati Kuu ya CCM ni pamoja na Dr. Mohamed Gharib Bilal, Emmanuel Nchimbi na January Makamba.

Iwapo mtu wa Lowassa kutoka Zanzibar (Dr Billal) atapitishwa na CCM kuwa mgombea Urais wa 2015, basi Billal atamchagua Lowassa kama mgombea mwenza (running mate) wake na hivyo kumfanya Lowassa kuwa Makamu wa Rais iwapo watashinda uchaguzi.

Iwapo kati ya Emmanuel Nchimbi au January Makamba atachaguliwa kuwa mgombea Urais 2015 basi yeye Lowassa atateuliwa kuwa executive Prime Minister.

Malengo ya Lowassa kwa 2015 ni haya (in order of importance):

1. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
2. Rais wa Tanganyika (katiba mpya ikipita)
3. Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
4. Waziri Mkuu wa Tanzania

Kwa kutumia pesa zake za kifisadi na pesa za Rostam Aziz, tajiri namba 1 Tanzania kwa mujibu wa gazeti la Forbes, Lowassa amenunua kuungwa mkono na asilimia 75 ya wabunge wa Tanzania kutoka CCM, CHADEMA na CUF. Lowassa pia amenunua asilimia 80 ya wajumbe wa NEC na asilimia 75 ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM. Sasa anakamilisha kununua wajumbe wa Kamati Kuu.

Kamati Kuu ndio kizingiti pekee kwa Lowassa na kundi lake. Wameamua kuwa iwapo Kamati Kuu itatupa jina la Lowassa, basi NEC italazimisha jina la Lowassa lirudishwe ili achaguliwe kuwa mgombea.

Bila shaka CCM ikimuweka Lowassa kama mgombea Urais wa 2015, wapinzani watapata nafasi kubwa ya kushinda Urais kutokana na kiongozi huyu kuchafuka kwa ufisadi na kuleta mpasuko mkubwa ndani ya chama tawala iwapo atateuliwa.

MUNGU IBAIRIKI TANZANIA.... MUNGU TUEPUSHE NA RAIS FISADI 2015

wanaompa ubunge kwanza hawana uzalendo. mtu fisadi aliyekubuhu kama EL hapaswi hata kuwa sheha
 
Wale waliokataliwa na mwalimu kuwa hawana uwezo wa kuongoza nchi hii,leo hii mmoja wao ni Rais na yupo madarakani kwa takrbn miaka 8 sasa na bado tena mwenzake nae yupo mbioni kuwa Rais wa JMT kabla hata hatujapata mrejesho wa yule aliyepo madarakani.

Yale aliyoyasema mwalimu yamedhihilika ama ilikuwa siasa tu?

JK kaweza kuliongoza Taifa kama ilivyotegemewa?

Mtandao uliomweka JK madarakani umejiridhisha na kuona kuwa ndani ya mtandao wao bado kuna mwingine tena anayeweza iongoza Tz?

Na kwa nini wao tu na sio wengine ndani ya ccm na nje ya ccm?

Kama utendaji wa JK upo kama ulivyo,wa lowasa utakuwa na utofauti gani?

Kama issue ni maamuzi kwa nini nchi asipewe magufuli na sio lowasa?

Na kama issue ni utendaji uliotukuka kwa nini nchi asipewe Dr slaa? bila kujali chama chake.

Kwa nini utawala unakuwa wa kununua badala ya kupewa dhamana na wanachi?

Kiongozi kama lowasa akishinda na kuwa rais wa nchi hii siku ya kutangazwa kuwa yeye ni rais wa JMT atawashukuru wananchi kwa kumpa kura kwa wingi ama atawashukuru wanamtandao kwakufanya kazi nzuri iliyotumia mteja wa bank na kumfanya yeye awe Rais?

maswali ni mengi ila mimi na ww yatupasa tuwe makini sana na haw wanamtandao kwani hawana lengo jema zaidi yakutuonyeshea kuwa mwalimu was wrong.
 
LOWASA uko juu RAIS wangu! Maneno mengi ya wakosaji wasio na hoja ila majungu tu! Naona jinsi wanavyopata shida kila jina lako likitajwa wapinzani wanahaha.

Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe! LOWASA OYEE!
 
Wale waliokataliwa na mwalimu kuwa hawana uwezo wa kuongoza nchi hii,leo hii mmoja wao ni Rais na yupo madarakani kwa takrbn miaka 8 sasa na bado tena mwenzake nae yupo mbioni kuwa Rais wa JMT kabla hata hatujapata mrejesho wa yule aliyepo madarakani.

Yale aliyoyasema mwalimu yamedhihilika ama ilikuwa siasa tu?

JK kaweza kuliongoza Taifa kama ilivyotegemewa?

Mtandao uliomweka JK madarakani umejiridhisha na kuona kuwa ndani ya mtandao wao bado kuna mwingine tena anayeweza iongoza Tz?

Na kwa nini wao tu na sio wengine ndani ya ccm na nje ya ccm?

Kama utendaji wa JK upo kama ulivyo,wa lowasa utakuwa na utofauti gani?

Kama issue ni maamuzi kwa nini nchi asipewe magufuli na sio lowasa?

Na kama issue ni utendaji uliotukuka kwa nini nchi asipewe Dr slaa? bila kujali chama chake.

Kwa nini utawala unakuwa wa kununua badala ya kupewa dhamana na wanachi?

Kiongozi kama lowasa akishinda na kuwa rais wa nchi hii siku ya kutangazwa kuwa yeye ni rais wa JMT atawashukuru wananchi kwa kumpa kura kwa wingi ama atawashukuru wanamtandao kwakufanya kazi nzuri iliyotumia mteja wa bank na kumfanya yeye awe Rais?

maswali ni mengi ila mimi na ww yatupasa tuwe makini sana na haw wanamtandao kwani hawana lengo jema zaidi yakutuonyeshea kuwa mwalimu was wrong.

Kweli umeishiwa mawazo. Eti tumpe SILAA nchi? Aendelee kuota ndoto za wafu! LOWASA tu 2015!
 
Watanzania wanaompenda Lowassa ni rafiki zake rejea G55 iliyotaka kumpindua Mwalimu madarakani,kuna vizazi vyake ndani ya Lowassa na Lowassa anavilea kwasababu anaamini anything is possible mbele ya pesa,lkn watanzania wengi bado maskini hata kama ukitoa pesa misikitini,au makanisani haisaidii ndugu,maskini wanaogopa kwenda kanisani leo hawana sadaka anayohitaji Padre au kwenu kkt mnaita cells,wakatoliki wanaita jumuiya,kule kwenye cell wainjilisti wanaimiza wakristo watoe sadaka atleast kuanzia shilling 2000,vivyo hivyo maketekista wa kikatoliki,we unadhani maskini ataenda kanisani kwa hali hii,Mhe Lowassa unajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Lowassa sawa na kuweka mavi hazarani, au kutembea uchi mbele za umati wa watu

Wee akili iliyojaa mavi lowassa ndo rais wako,tulikosea tu kumchagua kikwete,kiutendaji lowassa is far,muulize unayempigia debe kaifanyia nini nchi hii zaid ya lowassa
 
Angefanya nini?

Ninamini hata baba wa Taifa angalikuwepo angempa LOWASA nchi na sio huyo mwizi wa mke wa mtu. Kama kaweza kuiba mpaka mke wa mtu ameiba kias gani? Au kwa sababu hatumuon akiiba? Huyo ndo jambazi hatari sana! LOWASA TU 2015!
 
wanaompa ubunge kwanza hawana uzalendo. mtu fisadi aliyekubuhu kama EL hapaswi hata kuwa sheha

Fisadi mmemkumbatia halafu mnatuzuzua kwa uongo wenu eti LOWASA fisadi! Nyie majambazi msitudanganye! LOWASA HAJATUIBIA CHOCHOTE! Mnafikiri hatujui kama mlimtoa ili mpate kuiba?
 
Naona vita dhidi ya Lowassa inazidi kuongezeka. Inaelekea huyu Jamaa kazi zake zinakubalika sana. Kwa style hii hata mimi napenda awe President.
 
Back
Top Bottom