Je kuna offline audio player nzuri kushinda hizo hapo juu zenye user face nzuri na quality nzuri ya muziki kushinda poweramp player...kama zipi basi unaweza kuzitaja hapo chini....Kwangu Poweramp na oto player ni best
Wakuu kama title inavyoeleza naomba kujua tofauti iliyopo kati ya audio flac file na mp3 320kbps .......
Na sehemu website au apps gani naweza download hizo flac file zenye quality nzuri.....
Natanguliza shukrani....
Jamani wajuvi wa jukwaa hili nina simu aina ya Redmi note 10 pro, tatizo lake inawahi kuisha chaji haraka na kwenye screen inaonyesha kama cheche kwa mbali alafu inapata joto.
Mwenye kuelewa hili tatizo naomba anisaidie jinsi ya kulitatua.
Tumia poweramp ndio player bora kushinda hizo zote. Na kama unatumia Spotify na unataka kusikiliza mziki kama wa poweramp download poweramp equalizer.utanishukuru[emoji119][emoji3]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.