Recent content by PORIKWAPORI

  1. P

    JamiiForums Tanzania Watanzania hamuoni kuwa CCM ni Kichekesho?

    mbivu na mbichi zitajulikana kwani Rushwa kwa Chama tawala liko ndani ya ilani yao kwani hakuna wa kumwajibisha nwenzake wengine wanalitukuza na kulifurahia,hakika wakati umefika wa kukata kuwa na watawala wapenda rushwa
  2. P

    JamiiForums Tanzania Vazi la waziri limeharibu kabisa siku yangu

    Yote yananafasi yake kuvaa nguo za heshima na kufanya kazio kwani jaamii inakutazama wewe kama kioo sasa ukiwa unavaa ovyo ata utendaji kazi wako utakuwa hovyo.Nadhan viongozi wawe ndio kiooo kwa jaamii kwa maisha yao.Tatizo hawataki kujikubali kuwa wakati unawatupa sas wanalazimisha kuwa mabint
  3. P

    JamiiForums Tanzania Pigo jingine CUF: sekretarieti ya vijana Bara yajiuzulu.

    Gamba litawatesa sana kwani wamekunywa mvinyo uleule wa CCM na ndio unaanza kuvuruga hali ya hewa tusubirie kuona mengi kutoka CUF na hiyo ndoa yao itavunjika,
Back
Top Bottom