Recent content by popie

  1. popie

    JamiiForums Tanzania Kama Simba mmemuacha Sadio Kanoute basi mjue mmeiua rasmi Simba Sports Club

    Hizi habari umezitoa wapi? Kama upo huko Sumbawanga ndanindani hama kabisa
  2. popie

    JamiiForums Tanzania Singida Out, iwe fundisho siku nyingine

    Cha muhimu watu wapo fainali
  3. popie

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ikiwa Taifa Stars itafuzu AFCON mwakani 2024

    Hata tukifuzu huko tunaenda kutia aibu, tutakula vipigo hadi tuchakae
  4. popie

    JamiiForums Tanzania Simba SC msichukie mafanikio ya Yanga, nashauri iwe ni chachu kwenu

    Yanga amefanikiwa wapi? Usitulazimishe kuishabikia wala kuiombea mazuri wao ndo walianza chuki kwa kuona Simba inaenda kufanikiwa, Kila mtu aangalie zake, ni sawa na kuwalazimisha Barcelona wapende mafanikio ya Real Madrid never haitatokea, Zamalek apende mafanikio ya Al Ahli sahau, umeandika...
  5. popie

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    In Putin we trust
  6. popie

    JamiiForums Tanzania Zitambue Sifa/Tabia Kuu 10 za Mwanaume Wa Kihaya hapa Tanzania

    Hili kabila siku likichukua nchi yaani Rais akiwa muhaya nahama nchi naenda DRC au Sudani kwenye machafuko
  7. popie

    JamiiForums Tanzania Na mme wenu kapigwa,Sasa kesi mtakuwa mnaenda kushtak kwa Nani?

    Leo wanaenda kulala mapema
  8. popie

    JamiiForums Tanzania Wanayanga mnazingua, jifunzeni kwetu mashabiki wa msimbazi

    Tumeshawazoea hao
  9. popie

    JamiiForums Tanzania Napinga Tulia Ackson kuwa Mgeni Rasmi kwenye mechi ya Simba na Wydad Cassablanca

    Mgeni rasmi huwa anacheza namba ngapi?
  10. popie

    JamiiForums Tanzania Napinga Tulia Ackson kuwa Mgeni Rasmi kwenye mechi ya Simba na Wydad Cassablanca

    Mgeni ni yuleyule na Simba imeshinda
  11. popie

    JamiiForums Tanzania Amri Kiemba: Mechi kati ya Simba na Wydad ni Ngumu

    Ameshafungwa vipi huko kwenu nanjilinji mpira bado haujaisha tu?
  12. popie

    JamiiForums Tanzania Amri Kiemba: Mechi kati ya Simba na Wydad ni Ngumu

    Naona amecheza kipa leo
  13. popie

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Simba 1- 0 Wydad Kwao tunaenda kuwaua
  14. popie

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Magwaya tumepigwa mchana kweupe
Back
Top Bottom