Recent content by Popcon

  1. P

    Azam TV yapewa leseni ya kurusha chaneli za ndani

    Dodoma. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye amelieleza Bunge leo Jumanne Mei 14, 2019 kuwa kituo cha televisheni cha Azam jana Jumatatu kimepokea leseni ya kuonyesha chaneli za ndani bure. Pia, Nditiye amesema katika kipindi cha miezi saba watajenga mfumo wa...
  2. P

    Sugu amshauri Magufuli kuongeza mishahara Mei Mosi Mbeya

    Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amemshauri Rais John Magufuli atakapokwenda Mbeya kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma kwa sababu miaka yake minne hajawahi kuongeza hata kidogo. Mbilinyi alitoa kauli hiyo jana...
  3. P

    Rais Omar al-Bashir wa Sudan alazimishwa na Jeshi kutoka Madarakani. Inadaiwa kajiuzulu, Uwanja wa Ndege wafungwa

    Taarifa kutoka nchini humo zinaeleza kuwa Jeshi la nchi hiyo limemuondoa madarakani Raisi Omari Albashiri, kufuatia maandamano yaliyodumu kwa Siku kadhaa nchini humo. Bashiri ambaye yupo madarakani toka 1989 tayari yuko chini ya ulinzi mkali ktk Ikulu ya nchi hiyo akiwa ameunganishwa na kundi...
  4. P

    Kazi za Maafisa Tarafa ni zipi?

    Mimi leo naomba wanajamvi munifafanulie mamlaka ya Afisa Tarafa Kikatiba au kwa mujibu wa katiba, napenda kujua kwasababu ktk zunguka yangu Mimi kama Mimi nimeshindwa kuwaelewa kabisa. Sababu ni kwamba baadhi yao wamekuwa hawayajui kabisa mamlaka yao na HIVYO kujikuta wakidili na majukumu hadi...
  5. P

    Hivi maafisa tarafa kazi yao ni nini?

    Mimi leo naomba wanajamvi munifafanulie mamlaka ya Afisa Tarafa Kikatiba au kwa mujibu wa katiba, napenda kujua kwasababu ktk zunguka yangu Mimi kama Mimi nimeshindwa kuwaelewa kabisa. Sababu ni kwamba baadhi yao wamekuwa hawayajui kabisa mamlaka yao na HIVYO kujikuta wakidili na majukumu hadi...
  6. P

    Katibu wa BAVICHA, Hilda Newton: Nikitoweka jueni Polisi wameniteka maana nimetaarifiwa kuwa wananiwinda

    Utatiwa Kidole fala we we...ulijua nchi ya mamaako hii...ufupi ka kalunguyeye
  7. P

    Jimbo la Mlalo: Taarifa ya maendeleo toka Ofisi ya Mbunge

    Si soma ufafanuzi hapo juu....hata Mimi nimeamua nimuulize mtendaji, kuombwa na kutoa ni jambo lingine, na matumizi Wakati mwingine hubadilishwa bila idhini ya mtoaji...hivyo ndio maana umeona Mh, mbunge aliandika kile alichoombewa.
  8. P

    Jimbo la Mlalo: Taarifa ya maendeleo toka Ofisi ya Mbunge

    Mifuko 5, ilitumika kukarabati Ukuta Wa Darasa la 3 Darasa lipo mwanzo ukitokea ofisi za kijiji Madala, Mifuko 5 vyoo vya wanafunzi na Mifuko 10 inasubiri Ujenzi wa Jiko la Nyumba ya Walimu Mwakani.
  9. P

    Jimbo la Mlalo: Taarifa ya maendeleo toka Ofisi ya Mbunge

    Ila wew pia unanafasi nzuri ya kumuuliza mtenfaji, mwenyekiti au Diwani juu ya matumizi haya,ni haki yako kuhakiki
  10. P

    Jimbo la Mlalo: Taarifa ya maendeleo toka Ofisi ya Mbunge

    Sementi ilitumika kukarabati Darasa, ninavyojua hata Mimi ni mwenyeji wa hii Kata.
  11. P

    Jimbo la Mlalo: Taarifa ya maendeleo toka Ofisi ya Mbunge

    Pale madala shule ya Msingi, kuna Kitu kama Jiko,la Nyumba ya walimu kinajengwa, ila walivyokea sementi waliamua kwanza kukarabati ukuta Wa moja ya darasa lililokuwa na hali mbaya
  12. P

    Jimbo la Mlalo: Taarifa ya maendeleo toka Ofisi ya Mbunge

    Taarifa haijasema anataka agombee tena, inaeleza tu alichofanya.
  13. P

    Jimbo la Mlalo: Taarifa ya maendeleo toka Ofisi ya Mbunge

    Hujaelewa ukiambiwa ujenzi Wa nyumba ya MWL,Madala Sm Kata ya Manolo kachangia Mifuko 20 ya saruji, au hujaelewa taarifa nzima??
  14. P

    Jimbo la Mlalo: Taarifa ya maendeleo toka Ofisi ya Mbunge

    Ata Mimi huwa namuulizaga Mara kwa Mara na kumpigia simu, kama kuna jambo, anafikisha muda huo huo. Kimsingi hawa jamaa wamejitahid kujipambanua....Ni miongo mingi, hili jimbo lilikoza uwazi, ila taarifa yao, inatoa matumaini kwakweli. Mimi Mara nyingi nawafuatilia kwenye ukurasa wao Wa Facebook...
Back
Top Bottom