Recent content by ponti

  1. P

    Sumaye kuwa Katibu Mkuu CHADEMA?

    SUMAYE ni jembe Anafaa sanaaaaaaaa kuwa katibu wa CDM Mpeni nafasi na 2020 tunampa nchi huyo
  2. P

    Serikali kuzuia shule binafsi kupandisha karo ni njia sahii ya kuboresha elimu?

    Nikupongeze mtoa mada hii. Ni kweli Waziri anatakiwa atulize kichwa kabla ya kuamua. Kinachoangaliwa hapa ni quality of education na sio quantity. Sioni maana ya kuweka ada elekezi. Kama serikal ina nia ya kusaidia watu wake basi iboreshe shule za serikali kwa kutoa chakula kizuri, malezi...
  3. P

    Waziri Mkuu- Hebu Safisha uchafu Vyuo hivi- Ustawi wa Jamii na Mipango Dodoma

    Tumuombe waziri mkuu atembelee hivi vyuo ajionee jinsi uongozi wake ulivyo mbovu na ufujaji wa fedha za umma. Vyuo hivi vimefanywa shamba la bibi na undugu umetawala sana. Unakuta mtu na mke wake na mtoto wote wapo hapo. Ukifatilia utakuta ni undungunization tu. Tunaomba vimulikwe vyuo...
  4. P

    Dodoma: Rais kuhutubia Bunge na Waziri Mkuu kujulikana kesho, UKAWA bado hawasomeki

    Tusubiri hotuba. Tuache ushabiki wa vyama sasa. Tuangalie maslahi ya jamii. Mara CCM mara Ukawa. Hapa kazi tu. Hat CCM wasipokaa sawasawa watapugwa tu.
  5. P

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Mh Magufuli. Salamu nyingi sana hapo ulipo. Sisi wapiga kura wako wazima. Mh. tunakupenda sana na hatutaki ukosee. Hizi wizara zinakutosha na tunakuomba ufanye utafiti mzuri wa watu wa kuwaweka. Kuna watu wamechokwa na jamii, kamwe usiwaweke hao watakuharibia jina. Ukikosa watu nenda vyuoni na...
  6. P

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Nashauri more than 50% ya mawaziri wawe wapya Tunahitaji mabadiliko ya SURA mpya
  7. P

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Pigeni kelele. Hii awamu mpya. Mambo ya kubeba mizogo eti mtoto wa ex Pres au ex Katibu wa chama hakuna. Jembe jipya na sura mpya. Hatutaki mazoea yenu. Watu wapo wengi. Kusaidia kampeni sio tiket upewe uwaziri. Tunaangalia weledi. Kuna watu walikutwa na scandal za escrow na hata kukashfu watu...
  8. P

    Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, ajiuzulu Uongozi ndani ya CCM

    Hujaelewa. Watu wengi walihama CCM. Kama alihusika kuhenga UKAWa kupewa ruksa. Sumaye alifanya kazi kubwa. Apewe tu kwa heshima ya Sumaye. Ruksa.
  9. P

    Ikiwa Lowassa ni Mwizi na Fisadi, Iweje Watu Hawa Wenye Heshima Wamuunge Mkono?

    Sijaona Kiongozi ambaye hajakumbukwa na kashfa za rushwa. Si Ukawa wala Ccm. Wanatifautiana tu viwango vya rushwa. Tunahitaji kiongozi anajitoa kusaidia jamii na anaye kubalika na wengi. Kiongozi anayeweza kukemea jambo la kiutendaji na kusukuma maendeleo mbele. Mh Lowasa anafaa kuwa...
  10. P

    Kada wa CCM lawamani kwa kuisaidia CHADEMA

    Asilimia 70 ya Ccm ni Chadema
  11. P

    ACT-Tanzania kufanya Mkutano Mkubwa Tegeta Jumapili; Zitto Kupewa kadi

    Niwaambie kitu. Bila kujali wewe Ccm au chadema, ukidhulumu haki ya watu , upanga utakufuata, utapeli na kutoa siri za chama ni sumu kali sana. Mtu yeyote anagundulika kuwa na tabia hii ni mbaya kama Alshabab au Bokho haram. Haijalishi unapiga kelele kiasi gani bungeni Mimi sipendi mnafiki...
  12. P

    ACT-Tanzania kufanya Mkutano Mkubwa Tegeta Jumapili; Zitto Kupewa kadi

    Niwaambie kitu. Bila kujali wewe Ccm au chadema, ukidhulumu haki ya watu , upanga utakufuata, utapeli na kutoa siri za chama ni sumu kali sana. Mtu yeyote anagundulika kuwa na tabia hii ni mbaya kama Alshabab au Bokho haram. Haijalishi unapiga kelele kiasi gani bungeni Mimi sipendi mnafiki...
  13. P

    Goli lipo wazi: Iramba Magharibi,Singida Kaskazini,Bumbuli,Katavi, Monduli,Bunda,Sengerema,Rungwe Ma

    Chilonwa? manyoni magharibi? Kwa Tibaijuka?Nako yapo waz
  14. P

    CHADEMA yatangaza mgombea Ubunge Manyoni Mashariki

    Tatizo lenu mkipata kijij kimoja mnatangaza dunia nzima. Cdm manyoni mnapoteza nguvu tu, hamna wagombea, mnaokota okota leo Ema kesho Mpuwa nk...kuweni na majembe sio kuchukua wasukuma mikokoten na wauza gongo ndo wawe viongozi. Jipangeni bado sanaaaaa. Kuna majembe Manyoni yanakuja huyo...
  15. P

    CHADEMA yatangaza mgombea Ubunge Manyoni Mashariki

    Kama ni mpuwa ni heri tusimamishe beberu la mbegu. Hana sifa stahiki huyo. Ccm imejipanga bana......hata Chili hamwez......labda agombee ujumbe wa mtaa
Back
Top Bottom