Kwa anayeitaji tuwasiliane kwa number 0762355114.
Hiyo ni bei ya atakayekuja chukulia mzigo Tanga.
Kwa wale wa mikoani tunasafirisha kwa kushea bei za usafiri.
Hapo kwenye Kanga tsh 3000 ni kifaranga cha kati ya wiki moja mpaka mbili.
Pongwe Poultry Farm inakuletea punguzo bei kwa vifaranga vya kuku wafuatao.
1. Kuroila
2. Kenbro
3. Kienyeji
Vifaranga tajwa hapo juu tunauza Tsh 2,000. kwa kifaranga cha siku moja.
Vile vile tunauza vifaranga vya
1. Bata bukini
2. Bata Mzinga
3. Bata Maji
4. Kanga pamoja na
5.Kuchi...
Mkubwa kama unataka vifaranga tuwasiliane.
Mim niko Tanga nauza vifaranga vya kuku wafuatao
1:kuroila
2:kenbo
3:kienyeji na
4: Kuchi
Kuroila, kenbro na kienyeji bei ya kifaranga cha
Siku moja ni tsh 2,000 tu. Usafiri unajitegemea
Mkubwa kigoma mbali sana ungekuja karibu mimi niko Tanga mjini ningekupatia vifaranga.
1: nauza vifaranga vya kuku wa kienyeji
2: Kenbro
3: Kuroila na
4: Kuchi
Kuroila, kenbro na kienyeji bei ni 2,000 kifaranga cha siku moja Bila usafiri. Usafiri unajitegemea mwenyewe.
Number za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.