Recent content by POMPO

  1. POMPO

    Uenyekiti wa CCM Taifa: Kielelezo cha ukosefu wa demokrasia chamani na chama dola

    Hata kukiwa na democrasia, chini ya Jecha hakuna kitu, bora muendelee kupeana tu
  2. POMPO

    Malisa: Moshi Vijijini inanihitaji

    Malisa yupo sawa kichwa namkubali sana, pambana kamanda
  3. POMPO

    CHADEMA wavunjavunja ngome ya CCM Namtumbo, Ruvuma

    FUIME tunamuhitaji Songea Mjini
  4. POMPO

    Polisi wampiga vibaya Mwandishi wa Habari Zanzibar

    Nakubaliana nawe mkuu, wamejifunza toka Tanganyika
  5. POMPO

    Zitto: Niliondoka CHADEMA kwa sababu ya kunyanyaswa na kuonewa

    Kibaraka Mkuu wa maccm
  6. POMPO

    Dkt. Reginald Mengi: Kamukara amefariki dunia katika mazingira yaliyosheheni utata sana

    Hiyo ni habari ya kiuchunguzi we unadhaani ni habari ya mapenz kila mmoja anafahamu?
  7. POMPO

    Matumizi ya 'human shield' ya makundi ya watu as 'pressure group' kwa vikao vya CCM

    Pole kwa kuwekwa kando, tulikuonya tulikwambia. Sasa unaumbuka nabado
  8. POMPO

    ACT-Wazalendo watikisa Mkoa wa Tanga leo

    JOHN WA MARWA Anakimbiza mwenge? Kila anakotoka hakuna hata ofisi wala nini, Maccm na mikakati ya kizaman. Msaliti hatofanikiwa
  9. POMPO

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa muda wa ACT-Wazalendo, Kadawi Limbu, kugombea ubunge kupitia CHADEMA

    Nenda jukwaa lako la mapenz huku huwez mzeee
  10. POMPO

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa muda wa ACT-Wazalendo, Kadawi Limbu, kugombea ubunge kupitia CHADEMA

    Hii nayo ni thread? Hebu Mods una na ule uzi wa waanaa..
  11. POMPO

    Nimetangaza nia ya kugombea Udiwani Kata ya Soweto Moshi

    Hongera sana kamanda, Lugha nzuri, mpangilio sahihi na point zimeeleweka. Nakutakia kila rakheli kamanda Mungu akusaidie katika kutimiza maleongo na maono yako kwa wana SOWETO
  12. POMPO

    Zitto Kabwe: Serikali inachekesha sana!

    Mnafiki @work
  13. POMPO

    Makonda, Jitokeze hadharani utuombe radhi wanasheria

    Mc pilipili kawa mwansheria now dayz
  14. POMPO

    Wawakilishi CUF watoka nje Kikao cha Baraza la Wawakilishi

    Wa apaswa kupiga makelele na kuimba humo humo hakuna kutoka
Back
Top Bottom