Recent content by polyne

  1. P

    Lowassa kumkabili Kikwete Dodoma

    Mwizii alimuibia baba akoooo
  2. P

    Lowassa nakuomba uachane na Siasa utakufa kwa shinikizo la dam maana nauona mwisho

    Naogopa ku comment nikihisi uenda aliyeandika hayaa naye amekurupuka kutoka usingizi hvyo basii nami nisionekane nimetoka usingizini, kwa maneno mafupi tu ur nothing, na kama hauna cha kusema jamii forum usilazimishe maneno naona ni ngumu sana masikio kuzidi kichwa, most of da pple deir bealiv...
  3. P

    Lowassa nakuomba uachane na Siasa utakufa kwa shinikizo la dam maana nauona mwisho

    Hivi wewe hizo hela unazopewa si ukwanye viroba na mke wako badala ya kuleta hoja isiyokuwa na maana. Tafuta kazi kazi nyingine mana kwa kazi hii ya ukuhadi unajipotezea heshima. Andika vitu vya maana, kama huna, nenda kalale na mkeo nyumbani uache watu wadiscus ishu za maana
  4. P

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha atoa tamko kali kuhusu Lowassa

    Kama humpendi lowassa pigana sas
  5. P

    Kikwete: Kampeni za Urais ndani ya CCM hazijaanza rasmi!

    Hahaha asante kikwete, wote walikuwa shupavu kumnyooshea m2 EL vidole mshutamee mapema kabla hatujawaitaa
  6. P

    Lowassa aibua vita mpya

    Tahadharii kuna watu mnaamka toka usingiziini na kucomment watu wa namna hyo ni hatarii sana, nukuu kuna m2 kasema eti kama aeshindwa monduli, tanzania ndio ataiweza bila shaka huyo ni empty mind, au vepa kbsaa hana alijualo
  7. P

    Lowassa aibua vita mpya

    Watu wanamtumia lowassa kujitaftia jina, mmemfanya barabara kila m2 anatuhuma ila evidence hanaa, midomoo malii yenuu ongeeni kwanii hamlipii vat, badalaa muongee mambo yanayo kabilii nchii, kuna tatizo la ajira vijanaa mmekaa kimyaa kila siku lowasa sijuii nani aliwachaguwa ninyi muwe...
  8. P

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Lowassa ndo Rais ajaye
  9. P

    Mangula: Lowassa bora uondoke kuliko kuivuruga CCM

    Tumechokaa na hoja zenu zisizokuwa za msingi, kuna mambo mengi sana ya kuzungumzia tofaut na EL, ongeleeni bsii ata hyo japo utendaji wenu ni mdogo, na wanajamii frm mkafika mahali mbadilike tunapelekeshwaa sana na hawa wanasiasa ehhh
  10. P

    Mangula: Lowassa bora uondoke kuliko kuivuruga CCM

    We mzee umekosa cha kusema wew, unafata upepo ehh,muachenii lowasa afanye yake hautakii pigana sas tukuone, alf kama c ujinga hamuoni kuwa nyie ni wajinga mnamsema m2 yy kakaa kimya anawaona jinsi mlivyo mabwegee, nyie ccm hamna jipyaa nyiee mkalale mbele
  11. P

    Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Nilijua utaandika something critical whch cn shock me abt lowassa na ww mwenyew blablaa nying no strong point. Njoo na hoja ya msingi inayokufanya ww umuite mwizi as if alishawai kukuibia
  12. P

    Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Nilijua utaandika something critical whch cn shock me abt lowassa na ww mwenyew blablaa nying no strong point. Njoo ya msingi
  13. P

    Hivi Ndoto za Lowassa anazotaka zitimiza CCM wanazijua...?Hii ndio demokrasia ya CCM?

    M2 kusema anaenda kutimiza ndoto, wale wenye akili fupi kma kidole cha mwisho washarukiaaa ni ndoto za uraisi pelekeni akili fyinyu ukooo,amfikirii kingne mnafikiri 2 namna ya kumsema lowasa vibaya mmelobaaaaa nawaambienii
  14. P

    Hivi Ndoto za Lowassa anazotaka zitimiza CCM wanazijua...?Hii ndio demokrasia ya CCM?

    Etii EL fisadii, alifisadii kwenuu, na ww unayesema afya mgogoro usitukane mamba kabla hujavuka mto, humu ndani kma huna uhakika na jambo lolote tafadhalii naomba usiliandike kuna w2 wanapotosha sna w2 na stori zao za kufikirika. Kama ww humpendi lowasa ni ww tunao mpenda mtuacheeeeeee kbsaa.
  15. P

    Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Kuna m2 mmoja nimemnukuu umu ndani kasema, eti EL amefanyiwa operation ya mgongo, kutokana na pombe kali anatetemeka mikono, na haoni umbali mrefu. Cha kujiuliza huyo m2 ni doctor, ana uhakika gani au anakuja kujiropokea 2 ili aonekane ana detail kumbe uongo m2pu, umekalia majungu yasiyokuwa na...
Back
Top Bottom