Recent content by Poloz

  1. Poloz

    Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote

    I disagree with you bro,humetoa mfano Microsoft that private company or Toyota hizo ni kmpuni binafsi hazi hendeshwi na serikali ya Marekani au serikali za Kijapani.Director au management wanakuwa share holder or owner or partnership nd'o maana wanakuwa na mishahara mkubwa na kazi wanafanya...
  2. Poloz

    Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote

    True bro hahiwezekani kabisa na ni wafanyakazi wa serikali.Kwa kampuni za watu binafsi kuilipa hivyo ni sawa siyo kwa serikali maskini kama Tanzania something wrong
  3. Poloz

    Britain under pressure to review £200 million aid for Tanzania after US cuts support

    Zanzibar hinaserikali yake na mahamuzi yake,Kuna bunge la Zanzibar,mawaziri wake,wabunge wake. SErikali ya Tanzania bara walichofanya ktk uchaguzi Zanzibar ni kuhakikisha kunakuwa na usalama wakati wakirudia uchaguzi. Kwanza nchi za Ulaya ya magharabi Zina shida na economic kwa sasa ,watu wengi...
  4. Poloz

    Britain under pressure to review £200 million aid for Tanzania after US cuts support

    Ni Wakati humefika kuachana na misaada ya nje hasa western country zinakuwa na masharti kwa ajili ya faida zao wenyewe Wafrica mnatakiwa Kuwa na umoja kama vile nchi za Ulaya ,magharibi .Mpaka hapo wafrica WAKIWA na umoja wenye nguvu Siyo kama sasa.Hapo mtaweza hatuitaji misaada yenye...
  5. Poloz

    Dira watakiwa kumuomba radhi Ombeni Sefue

    Wafikishwe mahakamani,kama hawana ushahidi walipe fainI na Gazeta la dirt lifungwe
  6. Poloz

    TRA yamdai Profesa Tibaijuka Sh500M za ESCROW, apinga

    Lowassa pia Hanahusika zaidi
  7. Poloz

    TRA yamdai Profesa Tibaijuka Sh500M za ESCROW, apinga

    Na pia Mzee wa madili LOWASSA
  8. Poloz

    Rais Magufuli atumbua mapapa wa Madawa ya Kulevya (unga)

    Vita hi ni ya watanzania wote "yes we can"
  9. Poloz

    Serikali yamnyang'anya Karakana ya Ndege mwekezaji Uwanja wa Kilimanjaro(KIA)

    C'mon people 3000 $ only????? Hawana hata haibu na bado wanataka Kuwa na ubishi na serikali Kweli wameona Tanzania ni malofa. Litaendeshwa na serikali pekee yake 110% Hawa nd'o wanarudisha maendeleo ya watanzania nyuma kwa ajili ya ubinafsi $3000 Only ? Hata kipo hanashutuka!!mmmmm
  10. Poloz

    Benki ya Access Tawi la Mbagala Imevamiwa!

    Kulikuwa Kuna mpelelezi mkuu wa Kilimanjaro hanaitwa Joakim (hali Kuwa ni mmbulu)Halikmesha Moshi kina kadogo, Sambeke,Hellija jamaa wengine hili bidi watu wa kimbiye Moshi,HAPAna mchezo hukitumia Silaa your dead man .HaliKuwa single handed hakuna haja ya kupelekana mahakamani ,he shoot on the...
Back
Top Bottom