hata mimi nina shaka ya elimu ya huyu Dr. yaani anaandika vitu bila utafiti wowote wa maana hakuna mahala anatumia facts, logic au hata evidence kujenga hoja yake zaidi ya kusikia, nimeambiwa na wanywa ulanzi hivi mtu anayejiita Dr u would think he can do better than this..utegemei mtu kuandika...
POLENI SANA RICHARD BALELE NA MASHAKA nilisoma nao Lugalo PRIMARY School MIAKA YA MWISHONI mwa themanini LY 1989 na walisema baba yao ni dokta kwahiyo bila shaka ni yeye huyu poleni sana.
R.I.P Gen.BALELE
watanzania tukifika mahala pakumtegemea mtu mbabaishaji ana mchumia tumbo kama PolePole kututafsiria ripoti ya kitaalam kutoka kwa CAG basi Taifa la Tanzania limekwisha
kwa ufupi ndugu Tanzania ilivopata uhuru wake 1961 tulibadili dereva tu wa gari kutoka mtu mweupe kwenda na dereva mweusi sheria kanuni na taratibu za kikandamizaji bado ziko pale pale. kabla ya uhuru regional commissioner akiona mtu ni tishio au anapinga ukoloni na anaweza ku organize watu...
Hakuna kitu kama hicho ndani ya Tanzania rational opposition haina faida it will be considered by the authority as a weakness vyama vya siasa Tanzania vimeshindwa kupata haki zao nyingi za msingi kwa sababu wanatumia approach yako multi dimensional and rational don't work in Tanzania labda nchi...
yule jamaa aliyepost uzi hapa inawezekana ni mmoja kati ya wausika waliomteka kwa maana sijaona mtu anasafiri tu na mtu asiyemjua halafu kupata maelezo mengi kiasi kile. alituma ile post kupoteza maboya watu
Bashite alishasema kuwa mhusika alijiteka na akamuelekeza Mambosasa akifika Dar basi mhusika ashugulikiwe kwa kosa la kujiteka nyie mlitegemea Mambosasa aseme nini?????? hatuna jeshi la polisi mnaosubiria polisi waseme ukweli siku moja ktk matukio haya mtasubiri sana.
who is Getrude NEVER heard such a name before!! what has she done for 4 CDM?!! km alipigwa kwanini hakwenda polisi??kama alikaa kimya basi yeye ndio ameruhusu unyanyasaji juu yake na wengine na cdm sidhani km inausika
CCM ingejuwa cdm itasimamisha mgombea wasingempitisha Mtulia kwani ni mweupe lakini ndio hivo imebidi wamsimamishe yeye kwa sababu moja tu nayo ni million 600 alizokopa ni lazima zirudi na CCM haina uwezo wa kumgawia million 600 za kulipa madeni bali ni kumuonga nafasi ya kugombea ili arudi...
Mungu aibariki na kuwapa Amani yake familia nzima ya Richard Tambwe Hizza gwiji la siasa za dar es salaam hasa Temeke namkumbuka wkt wa uchaguzi wa mwaka 1995 alipotuletea mtu anaitwa Kihiyo ambaye alikuwa ni mbunge wa kwanza wa ccm kukutwa na vyeti vya kufoji na hiyo ikasabbabisha matoeko...
angalau kwy ili CCM wenyewe wamekiri kuwa walimpandikiza mgombea wao kitendo ambacho ni hujuma kwa vyama vingine sasa sijui hii inaimarishaje demokrasia ktk nchi inayojiita ya kidemokrasia!!?? ni aibu kwa ccm ingawa kwa watu wanaochukulia ushabiki wa simba na yanga wanaweza ona sawa. kisheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.