Kenya wako strong kwenye intelligence kumbuka entire west inteligence wana vituo vyao kenya kuanzia CIA,MOSAD,MI6 na nyinginezo wapo kenya kabla ujafikiria kwenda kufanya utekaji au nia ovu tayari watakuwa na taarifa zako ..kumbukeni ya maria sarungi chap walivyomtoa kwenye mdomo wa mamba
Nimefuatilia mijadara uko michigan uyo jamaa anashinda asubuhi tu ..yani wanavyozidi kumshambulia ndio wanampiga teke chura kila mtu anashauku ya kuongozwa na muislamu baada ya kuona yale anayoyafanya mayor wa NY MAMDANI ..
Kuna nchi ambazo wasingewaza ata kumfuata mojawapo ni USA kwa mambo anayoyaongea Mange angekuwa nchi za kusadikika tayari walikuwa wameshamalzana nae kitambo sana..shida inakuja ni USA kumfanya chochote akiwa kule wanaweza kabisa tatizo linakuja ni lazima itajulikana na ikashajulikana moto ndio...
Kwa mange sahau ilo jambo never ata wahusika wenyewe wanalifahamu ilo yani umteke mtu kwenye ardhi ya USA unajitaka mzee na ata kama ukifanikiwa balaa utakalokuwa umelianzisha siyo la mchezo
Kuna nchi za kukimbilia wanaharakati kama vile UK,CANADA NA USA uko wale wasiojulikana ata kuwaza kukupiga tu awawezi siyo kukuteka wala kukupoteza sababu wakifanya ivyo ndio itakuwa kiama chao wao na aliewatuma
Serikali ya Tanzania imeiomba Marekani kuondoa vikwazo vya viza kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo, pamoja na vikwazo vingine vya kiuchumi na kiusafiri vilivyowekwa dhidi ya Tanzania, ili kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na wananchi wa nchi hizo mbili.
Ombi hilo limewasilishwa...
Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.
Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?
Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,
Utalii na wageni wanaokuja Nchini...
Kuna mmoja wao aliwaambia tukiacha izi hela wakuu wanachukua izi na hatupati ata mia wakaamua kujilipua apa bongo ukiona mpaka papa anadakwa ujue mfumo umemchoka nje na apo ata umkute na evidence anawaacha mapema kabisa mnaona
Nina brother wangu JW yupo uko ..wale jamaa task force yao wamechanganya kila idara umo..kuna JW,TIS,POLISI na idara nyingine ..wakikubananisha uchomoki mzee wanakuwa wapo full details ..aliniadhitia kuwa kuna mission moja iyo ilikuwa ya kumchunguza PAPA na Taikon wa ngada mchezo umechezwa Papa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.