Recent content by polipoli

  1. P

    Ya kwako lini?,nachukia sana swali hili

    Ila watu wanaudhi jamniiiii..unaolewa lini? We inakuhusu nini jamni? Mara kuolewa ni heshima,kwa hiyo unataka nikaolewe hata na mwendawazim ili nipate hiyo heshima? Mara sijui umri unaendaa, kwani umri wangu mm ww unakusaidia nini? Au nikiolewa ntakuongezeaa nini? Yani ni kuingiliana kwenye...
  2. P

    alinikimbia na pesa zangu,amerudi tena!

    Yani hujajifunza tuu?
  3. P

    Marriage for revenge

    Before you embark on a journey of revenge dig two graves..
  4. P

    Kwa hili msigwa amepoteza sifa za uongozi!! Someni fb anavyowatukana watu wanaompinga

    Yani kweli watu bendera fata upepo, yaaani mnaumiiia mch msigwa kasema yake ya moyoni..., hakuna cha dharau wala nini hapo kma mtu anampenda zitto kuliko chama ni bora aendee tu..
  5. P

    Nitatokaje kwenye hili janga?

    Umeshindwa kumblock huyo mtu?
  6. P

    Nataka kuzaa nawewe

    Si unamchumba ww? Ushauri wa nini sasa?
  7. P

    Mahusiano Yasiyo Elekea Kokote Yaongezeka Kwa Kasi!!!!!!! Lonelyness Is The Trick Part

    Me naona kuwa na mtu akati unasubiri the ryt prsn ndo mpango mzima, chezea kuwa lonely ww..,kila ukipigia ur galz u wanna go out to ave fun wamebanwa n ma bf na male frnd hivyohivyo wapo na ma babe wao, utakaa utoe macho mpka ushangae kutoka peke ako uzushi so unaishia angalia movie mpka...
  8. P

    Vita dhidi ya madawa ya kulevya: Waziri akiri wauza unga kuifadhili CCM, Nzowa aizamisha Jambo leo

    Le mutuz, mbona unatumia nguvu nyingi sana kusafisha uchafu,au interest zako zimeguswa?
  9. P

    The Ponda Syndrome:- Kama Officially Sio Taifa La Wanafiki Basi We are Almost There!!

    Salute u bro, nakubaliana na ww 100%, tatizo watz hatupendi ukweli.
  10. P

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Master wa karate au wa bongoflavour
Back
Top Bottom