Recent content by pogba6

  1. pogba6

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Kuna mtu ameleta barua Kanisani jioni hii, sikuiona amesema atarudi kesho

    Tutaona mengi sana mwaka huu mapicha picha haya yanakuga na mwisho mwema kabsaaaa
  2. pogba6

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Kuishi nje ya ukweli hiyo mkuu labda ungechanganua iyo 150 kwa wife bila dharura ina tekete vp itakua rahisi kushauriana mkuu... pia chakula na bills za 150 kwa mwezi mkuu serious? Kuna mahali hakupo sawa
  3. pogba6

    JamiiForums Tanzania Masanja amsamehe mke wake, kakubali yaishe maisha ya ndoa yaendelee

    Mitihani mingineo isikie kwa wenzio coz maumiv yake hayaelezekag kirahisi ukomav mkubw huu kwa mtumishi ila sio wote tuna moyo huu yapaswa tujifunze kitu
  4. pogba6

    JamiiForums Tanzania Usizae watoto wote na mwanamke mmoja

    Hata uislam una mipak yake sio kuoa oa tu
Back
Top Bottom